Primary language kwenye blog

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Jamani wadau naombeni msaada wenu kati hili, nashindwa kuelewa ipi inatakiwa iwe primary language? au machapisho ndo yasiwe katka lugha ya kiswahil? na je nifanyeje kusolve ili niweze kupata huduma ya adsense?

Natanguliza shukurani
 
Primary lazima iwe english mkuu kama sio english no adsense utakesha miaka na miaka hujapata
 
fanya maombi kwa ktumia youtube,bofya google kisha andika use youtube to get adsense in blog
 
fanya maombi kwa ktumia youtube,bofya google kisha andika use youtube to get adsense in blog


Mkuu hiyo ni trick ya zamani sana ambayo adsense walisha iblock kitambo ukijaribu hivyo ads itafaa lakin haita display kwenye website yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…