Pride in relationship

Pride in relationship

Winnysammy

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
22
Reaction score
6
Question to Men around Here,unapata Chili ana dem tajiri lakini Hataki kumuomba Msaada anapokua na tatizo hivyo huyo mwanaume anakupenda kweli Au Ndio kusema anaogopa kujishushia hadhi Hebu nisaidieni
 
hahaha domination matters alot.
 
Najua wewe ni mgeni maana nimekukaribisha kulee mlango wa mbele...hebu funguka kidogo maana naona swali lako ni kama kuna chembechembe za wewe kuhusika vile!!!
 
Watu8 nips tu jibu Kama unanipa jibu Jamani Mimi kuhusika au kutohusika si cha muhimu
 
Back
Top Bottom