Prez BARAKA HUSSEIN OBAMA - maoni na facts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prez BARAKA HUSSEIN OBAMA - maoni na facts

Discussion in 'International Forum' started by Natty Bongoman, Jan 20, 2009.

 1. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo ni sikukuu moyoni mwangu...

  Ningependa kuiomba jumuia ya hapa kutoanza upuuzi wa kikabila, na na kutambatamba ati huyu ni wetu nk Tafadhali tuikumbuke hii siku kuwa ya muungano wa dunia, muungano wa waAfrika, muungano wetu. Pia tuikumbuke hii siku kuwa siku ya 'kujiamini na kuamini kipaji chako'. Kumbukeni Raisi Obama alijiamini, aliamini atashinda hata vile wengi walivomuambia hutashinda... mweusi hatashinda... ngoja kidogo, nk JIAMINI.

  La mwisho, kumbukeni Obama ana DNA za dunia - Afrika, Marekani, Ulaya na Asia. Ameshinda uraisi kwa sababu waMarekani weupe na weusi wamejua anawawakilisha. Ushindi wake umesherehekewa duniani kwa sababu wamegundua kuwa ana DNA zinazowakilisha dunia.

  Get together Afrikans. Get together World citizens.


  hapo chini nakuleteeni historia (kurasa saba zitakazojifungua) ambayo itakupasha kuwa Raisi wa kwanza wa Marekani hakuwa Washington, alikuwa mweusi (John Hanson). Afu baada ya constitution inayotumiwa leo kuandikwa, basi Washington alikuwa raisi, na ndo yeye anajulikana kuwa raisi wa kwanza na Raisi Obama atajulikana kuwa raisi mweusi wa kwanza.

  [​IMG]
   
 2. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Si kweli.

  John Hanson hakuwa mweusi.

  Pia, John Hanson hakuwa Rais wa nchi, bali wa bunge, kama spika.

  Na hata Urais wa Bunge hakuwa wa kwanza, bali wa tatu.

  Halafu siku nyingine weka source, usifiche ulipookotezaokoteza taarifa pindo.


   
 3. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuhani hapo umefunika kabisa
   
 4. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kazi ipo duuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 5. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni subject ambayo imekuwa na wabishanaji wengi... Dick Gregory, hakuanzisha hadithi, alijifunza somewhere

  Baada ya utafiti mdogo, nakubaliana nawe kuhusiana na picha manake nimeona hii picha ya wazazi wa aliekuwa raisi
  [​IMG]

  baba mweupe, mama moloko (mmanga?)

  google: John Hanson, first black president - unaona nyingi zasema ndio, chache zasema hapana, lakini labda alikuwa mweusi...

  tukumbuke siku zile ka Obama angekuwa na nywele za mama, angeweza kujiita mzungu, na ukweli ukitamkwa, hata sasa wanatamka raisi mweusi wa kwanza based on slavery days standards za 'ukiwa na damu ya kiAfrika, hata ka ni kidogo sana, wewe ni mweusi' ... obama ni nusu mweusi, nusu mweupe lakini dunia inamuita mweusi.

  pia tukumbuke siku za hanson, hawakuwa na kamera, na ndo ivo naamini picha yako ni correct, na yangu ni ya yule mLiberia. Lakini, basi tukumbuke pia kuwa siku zile, hawa viongozi walivaa ma-wig ka yale ya waingereza mahakamani.

  anyway, I am always open for more education, na hii source apo chini inabishana na source yako kidogo http://www.presidentjohnhanson.com/

  HUJAFUNIKA, UMEFUNUA ... let us all get educated, elimu si mashindano, ni masahihisho ... rather than cheering, contribute.
   
Loading...