Eti wanasema bata ukimchunguza sana humli,so mi nijichukulie tuuuu kisa baba au mama anaweza kudead bila kumuona mjukuu aaaarghhhhhhhhhh ila kuna uncle wangu mmoja wa kanisani aliniacha hooi one day,kuna cheo kimoja alikuwa ananishauri kugombea pale kanisani kutokana na elimu yangu ila tatizo criteria moja nilikuwa namiss (to have a wife) uncle mi nikamwambia sina mtu kwa sasa akanijibu kwa hiyo unasubiri wakufuate wakwambie uwaoe??:sleepy:
huyu ni le mutuz kaja na id nyingine.....U know
cc
Mbuta nanga
And marriage is not for everyone.
So some folks just need to get in touch with their inner-self and realize that.
Umri unapozidi kwenda choice inazidi kupungua ...si kwa wanawake wala wanaume...possibility ya kupata magumashi ni kubwa sana ...kwa sababu huna muda tena wa kuchunguza...mfano wengi tuliolewa na watu ambo hatukuanza kujuana kwa gia ya ndoa...ndoa ilikuwa matokeo ya kiridhika kuwa tunaendana na tunaweza ishi pamoja.. .
Lakini umri ukienda kila relationship inakuwa serious hata kama hai deserve...
kwa kuwa unakimbia na muda...
Niliandika hii miaka zaidi ya miwili Mungu kanisaidia nimekutana na mdada mzuri na nina harusi mwezi ujao. Kila mtu ana muda wake na huwezi kuwa too smart kwenye mambo ya Kimungu inabidi usali na kufunga Mungu atakupa mtu wako Asanteni
Hongera sana mkuu...all the best!Niliandika hii miaka zaidi ya miwili Mungu kanisaidia nimekutana na mdada mzuri na nina harusi mwezi ujao. Kila mtu ana muda wake na huwezi kuwa too smart kwenye mambo ya Kimungu inabidi usali na kufunga Mungu atakupa mtu wako Asanteni
Hehehe kumbe mkuu upo US,kila cku nilikua najiuliza where does such a nice and polished English come from.Ntafutie kibibi basi.....
Hivi visichana dotcom havintaki.
Hehehe kumbe mkuu upo US,kila cku nilikua najiuliza where does such a nice and polished English come from.