Pressure for FBI Director James Comey to resign increase

Pressure for FBI Director James Comey to resign increase

Why shoud he resign Kama kuna new evidence ambazo hillary aliwitheld wakat wa uchunguz wa awali... Kwa Mara ya kwanza US media zimekua bias Sana na ku mfavour hyu Bi clinton

I don't think he should resign. What needs to be done is to repair the damage they have done to the bureau.

Mkuu huyu kapata msukumo kutoka makundi mbalimbali lakini sidhani kama Urusi anahusika hapo. Wamarekani wasitafute sababu kwenye matatizo yao ya ndani.

Evidence mpya zimepatikana ndiyomaana kufungua uchunguzi mpya, mnataka a resign ili iweje?
Kama mnajiamini kuwa Hillary Clinton yuko sawa shinikizeni mkurugenzi wa FBI akamilishe uchunguzi mapema tujue mbivu na mbichi.

hivi kwa mfano huyu Comey angeendesha uchunguzi kimya kimya kisha baada ya huyo bibi kuwa rais ikaja kugundulika alitenda jinai katika namna alivohandle emails zake ingekuaje? hawa wanamlaum bure tuu ila angekuwa na lawama za kutosha kwa uamuzi wowote ambao angechukua.. impossible situation wanaitaga

Ukweli unabaki pale pale kuwa Hillary Clinton was extremely careless in handling confidential information hata kama public ethics katika uchunguzi zimekiukwa.
Kama ni kweli uchunguzi huu utaweza kubadili mtazamo wa wapiga kura bado haiondoi upuuzi wa Hillary

Hillary Clinton kishakuwa vetted na CIA,FBI,Congress etc kuliko mtu yeyote US maana huwezi kuwa first lady,Senator,Secretary of State bila kupitia kwa hao wajomba,ni ushabiki tuu kufikiria huyu mama kafanya any crime kuhusiana na hizi email,ni Trump ambaye anaogopa hata kutoa Tax zake watu waone maana God knows anachoficha na hajalipa kodi for almost 20 years,angalia ule upuuzi wa Benghazi almost 2 years hakuna chochote walichopata zaidi kupoteza millions of $$$,Republican hawana pa kumpatia mama wamebaki na hizi garbage tuu,come Nov 8th Hillary Clinton will be President -elect and it will be landslide
Comey did not want FBI to name Russia as meddler before Election Day: report

That's the battle ground between Professionalism Vs Political Interests
 
Ukweli unabaki pale pale kuwa Hillary Clinton was extremely careless in handling confidential information hata kama public ethics katika uchunguzi zimekiukwa.
Kama ni kweli uchunguzi huu utaweza kubadili mtazamo wa wapiga kura bado haiondoi upuuzi wa Hillary
Careless is not a crime ,kura zimeshapigwa na ambao bado hizi email haziwezi kubadili kura zao..get used to President Hillary Clinton
 
Malcolm Lumumba hapo mwanzo alisema kuwa Hillary kakosea!!? Kwani tayari hizo emails zimeangaliwa kukuta zimo ambazo zina classified information !!!? Hukumu unatoa kabla ya ushahidi!!!?
 
Jana Wikileaks wametoa tena batch ya emails inayoonyesha huyu Bibi Clinton alikuwa anapewa prior questions wakati ule wa Presidential Primaries Kati yake na Bennie Sanders.

Hii inaonyesha huyu mama anapenda dirty games sana.
 
Comey alikosea tangu mwanzo, kwa kinywa chake mwenyewe alisema Hillary hana makosa.
Hapa kajichoma mwenyewe japo anachokifanya huyu Professor ni mkakati wa kisiasa unaitwa Spinning. Anajaribu kuzifanya akili za Wamarekani zizunguke mbuyu na wasiende kwenye ukweli.

Hata kama Comey amekosea kufanya uchunguzi kwa wakati Jambo la muhimi litabaki kwamba Hillary alivunja sheria na kuhatarisha Usalama wa nchi. Hasa kwa nafasi aliyokuwa nayo hakutakiqa kufanya aliyoyafanya.

Kwa lugha ya Kiingereza tunasema waache Overzealous dependence in Procedural Impropriety lest they may neglect to deal with the content of the Emails.
Mkuu ni kweli kuwa Hillary alifanya kosa, lakini hakuwa wa kwanza kufanya hivyo, ilikuwa ni kawaida kwa Secretary of states kutumia private servers, sasa iweje yeye tu ashikiwe Bango? Ni siasa tu hizo, Hata George W.Bush alitumia private server akiwa White house, kinachofanyika na Republicans ni Kutumia makosa ya HRC ku-spin move ya undecided voters.
 
Ahahaaaaaa kwa hiyo unahalalisha makosa ya Hillary kwa kusema na wengine nao walishagafanya makosa hayo hayo?

W. Bush alitumia private server lini? Una vyanzo vya kuaminika kuhusu hiyo bahari?
 
Jana Wikileaks wametoa tena batch ya emails inayoonyesha huyu Bibi Clinton alikuwa anapewa prior questions wakati ule wa Presidential Primaries Kati yake na Bennie Sanders.

Hii inaonyesha huyu mama anapenda dirty games sana.

Bibi mgonjwa huyo. Kumbukumbu yake si nzuri hivyo inabidi adese😀.
 
Hillary Clinton kishakuwa vetted na CIA,FBI,Congress etc kuliko mtu yeyote US maana huwezi kuwa first lady,Senator,Secretary of State bila kupitia kwa hao wajomba,ni ushabiki tuu kufikiria huyu mama kafanya any crime kuhusiana na hizi email,ni Trump ambaye anaogopa hata kutoa Tax zake watu waone maana God knows anachoficha na hajalipa kodi for almost 20 years,angalia ule upuuzi wa Benghazi almost 2 years hakuna chochote walichopata zaidi kupoteza millions of $$$,Republican hawana pa kumpatia mama wamebaki na hizi garbage tuu,come Nov 8th Hillary Clinton will be President -elect and it will be landslide
Mkuu hata Richard Nixon alifanyiwa huo uhakiki unousema lakini tunajua nini kilimkuta.
 
Comey alikosea tangu mwanzo, kwa kinywa chake mwenyewe alisema Hillary hana makosa.
Hapa kajichoma mwenyewe japo anachokifanya huyu Professor ni mkakati wa kisiasa unaitwa Spinning. Anajaribu kuzifanya akili za Wamarekani zizunguke mbuyu na wasiende kwenye ukweli.

Hata kama Comey amekosea kufanya uchunguzi kwa wakati Jambo la muhimi litabaki kwamba Hillary alivunja sheria na kuhatarisha Usalama wa nchi. Hasa kwa nafasi aliyokuwa nayo hakutakiqa kufanya aliyoyafanya.

Kwa lugha ya Kiingereza tunasema waache Overzealous dependence in Procedural Impropriety lest they may neglect to deal with the content of the Emails.

Well said mkuu, hawa watu wako desparate mno, wanataka Hillary ashinde kwa kutumia kila mbinu hasa hasa za kuilahumu Serikali ya Urusi ili wapoteze lengo na ikiwezekana wamuhusishe Trump moja kwa moja na Serikali ya Urusi - Profesa huyo anajifanya kuandika mambo mengii kuhusu Serikali ya Putin, mwisho mwishoni ndiyo anamtumbukiza Hillary kumbe hili ndilo lilikuwa lengo lake tangu mwanzo - yaani kumtetea Hillary!! Profesa anafikiri wapiga kura hawana akili ya kuchambanua mambo na kuona unafiki wake - yeye ana mamlaka gani ya kuhoji kazi za FBI au kuwaingilia katika utekekezaji wa kazi zao, kuna baadhi ya Wamerikani wanafikia hatua ya kutamja eti hakuna haja ya kupeleleza Hillary wakati imebakia wiki moja kupiga kura! - yaani hoja nyingine ukizisikiliza unashikwa na mshangao.

Binafsi nimefurahishwa kwa comments kutoka WhiteHouse - Obama kasema kama Comey ameona kuna sababu za msigi kuchuguza tena uzembe wa Hillary wa kuhifadhi sensitive info kwenye Server yake binafsi, basi achunguzwe tu tusiaze kuingiza masuala ya partsians wala nini sijui, Binafsi naona Obama kutumia busara sana.

Tatizo hapa ni Establishment kutotaka Trump ashinde uchaguzi wa mwaka huu, wako radhi kuzua lolote, wanakimbilia kwa Viongozi wastaafu including Army Generals ili waandike mabarua ya kumtetea Hillary na kumu demonise Trump kwamba hafai kurinda Usalama wa Taifa lao wakati Hillary ndiye anaonekana ameshikilia kiberiti kwenye gunpowder keg ya kulipua Dunia, wala hilo awalioni!

Sijui Wamerika wameingiliwa nini mwaka huu - tumesoma kwenye E-Mails alizo kuwa anatumiwa Hillary akishauriwa kwamba kila anapobanwa kuhusu kashfa fulani akitaka apoteze lengo ili wapiga kura wasimjadiri, basi awe anasingizia Putin na Urusi kwamba wanajiingiza kwenye uchaguzi wa Merikani kwa kumpendelea Trump, anakwenda mbali zaidi kwa kuwazuga wapiga kura kwamba Trump ni rafiki wa karibu na Putin - uzushi mtupu - narudia kusema kuna ushahidi wa E-Mails wa ku prove kwamba mikakati ya kuisingizia/zulia Urusi ilipangwa siku nyingi ili wamu undermine Trump kwa kutumia kigezo cha Urusi, we msikikize Hillary akiona mambo ayamwendei vizuri utasikia eti Putin anahusika! Hata opinion polls zinaonyesha wana run almost neck to neck, sasa hizo si dalili nzuri kwake licha ya kutumia sana MSM kumpigia debe usiku na mchana hatujui wapiga kura kwenye grass root na wale ambao awaja decide watampigia nani kura ya ndiyo.

Kinacho shangaza zaidi ni Wapambe wa Hillary awasemi kwamba actually Hillary anafahamiana na Putin kwa siku nyingi tu, Hillary alipo kuwa Waziri aliwahi kumuomba Putin awasaidie rafiki zake kununua shares au kumpuni fulani za huko Urusi na Hillary aliwahi kuwa Board member wa moja ya makampuni hayo - hilo Hillary na wapambe wake awalisemi!

Ingekuwa vyema kama Hillary angeondolewa kwenye kinyanganyiro cha Urais badala yake wamuweke Sanders ambaye alikuwa ni victim wa umafia wa Clinton na kundi lake lililo rig votes, Wamerikani wasifanye makosa ya kumchagua mama huyu ambaye ana kashifa nyingi kwenye Foundation yake na mumuwe, kusema uongo na kuharibu ushahidi - akichaguliwa suala kama la Watergate linaweza kuhibuka akiwa madarakani likasababisha kasheshe ndani ya Taifa lao.
 
Inasemekana kuwa Comey baada ya kuamua kutomshitaki Clinton maaofisa wenzie ndani ya kitengo waliona shirika limedhalalishwa kwa kutochukua hatua iliyotakiwa na Comey kuonekana ameshindwa kazi. Lilipojitokeza hili la pili ameona mlango wa kusahihisha makosa yake ya mwanzo ya kiuweledi kama Kiongozi wa FBI. Amejitosa aifie heshima yake ingawa pia kuna shaka miongoni mwa wadau wa siasa za Marekani kuwa huenda amekiuka utaratibu. Kwa wengine sasa ni shujaa bali kwa wengine ni mchonganishi na ameingilia uchaguzi. Tusubiri tuone nini kitatokea.
 
Back
Top Bottom