Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,589 Reaction score 9,583 Mar 26, 2025 #1 Wakuu Tumeambiwa Mkurugenzi wa Shirika La Umeme Tanesco atazungumza Na Waandishi wa habari Kuelezea Kuhusu Mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika Kwenye Shirika La Umeme Wamesema Muda ni saa 4:00 ila mpaka muda huu naona Kimya TANESCO
Wakuu Tumeambiwa Mkurugenzi wa Shirika La Umeme Tanesco atazungumza Na Waandishi wa habari Kuelezea Kuhusu Mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika Kwenye Shirika La Umeme Wamesema Muda ni saa 4:00 ila mpaka muda huu naona Kimya TANESCO
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,016 Reaction score 16,300 Mar 26, 2025 #2 Anajipanga na swali la kununua umeme Ethopia