PRESS ya LEMA iligharamiwa na Abdul

PRESS ya LEMA iligharamiwa na Abdul

Msituchoshe na uyo abdul serikal ina watu wengi sana wa kufanya izo kaz sasa nyie kila kitu abdul mnasahau kuna vijana na wazee wengi tu wanakata kua karibu na serikal ya ccm so kutoa pesa na kugaramia vitu kama ivyo ni jambo dogo sana kwao
 
Na kwa Nini alirudia mara mbili kusema Heche ana tatizo la kiafya?
Alitaka kuifikisha ujumbe Gani? Au what was the motive behind?
 
Wakuu, Habari mbaya na za kusikitisha nilizo zipata kutoka jijini Arusha ni kuwa ile “Press conference” na waandishi wa Habari iliyofanywa na Godbless Lema pale kwenye hotel ya Kibo palace iligharamiwa na Abdul ambaye ni Mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mdau huyo kutoka kitengo cha juu Serekalini amedai kuwa waandishi wa Habari huwa hawaji bure bure kwenye press conference na kwamba ile siku LEMA aliwapiga bahasha nzito nzito lakini pesa zote hizo ni Pesa za Abdul Mtoto wa Rais Samia.

Mdau huyo ambaye ni mpenda haki amedai kuwa Lema hakuwa na Jeuri ya kutoa bahasha nzito nzito na alishinikizwa na Abdul afanye ile Press Conference na alipewa script ikiwemo kuwatukana wana harakati wote na kutaja location zao.

Mdau huyo ameendelea kusema kuwa Abdul ambaye elimu yake ni darasa la nne ndiye anayempelekesha LEMA kama gari bovu, na amekuwa akiwaambiwa rafiki zake kuwa Lema mbele ya pesa ni mshamba na poyoyo na hana jeuri yoyote ile. Mdau aliongeza kuwa tangu siku ya kwanza Lema alipopewa maburunguti ya Pesa za Damu ili alipe madeni yake amekuwa akimuona Abdul kama Mungu mtu kwa jinsi anavyo mtetemekea.

Mara tu baada ya kumaliza ile Press Conference Abdul aliwatext wabunge wa CCM ambao Mara moja walianza kumpongeza LEMA. Mdau huyo alidokeza Ukiona hadi machawa wa Abdul akina Nape wanakupongeza Ujue umeongea pumba sana.

My take: Yanayo fanyika gizani yameanza kuja Nuruni, Tutaona mengi sana siku zijazo.
Kwa nini watu mnapenda kuleta tuhuma bila hata uthibitisho!!??
Hizi siasa za kuchafuana binafsi (majitaka)ni za CCM, kwa nini siku hizi zinaelekezwa kwa upande wa wapigania haki na utawala wa sheria!!!???
 
Wakuu, Habari mbaya na za kusikitisha nilizo zipata kutoka jijini Arusha ni kuwa ile “Press conference” na waandishi wa Habari iliyofanywa na Godbless Lema pale kwenye hotel ya Kibo palace iligharamiwa na Abdul ambaye ni Mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mdau huyo kutoka kitengo cha juu Serekalini amedai kuwa waandishi wa Habari huwa hawaji bure bure kwenye press conference na kwamba ile siku LEMA aliwapiga bahasha nzito nzito lakini pesa zote hizo ni Pesa za Abdul Mtoto wa Rais Samia.

Mdau huyo ambaye ni mpenda haki amedai kuwa Lema hakuwa na Jeuri ya kutoa bahasha nzito nzito na alishinikizwa na Abdul afanye ile Press Conference na alipewa script ikiwemo kuwatukana wana harakati wote na kutaja location zao.

Mdau huyo ameendelea kusema kuwa Abdul ambaye elimu yake ni darasa la nne ndiye anayempelekesha LEMA kama gari bovu, na amekuwa akiwaambiwa rafiki zake kuwa Lema mbele ya pesa ni mshamba na poyoyo na hana jeuri yoyote ile. Mdau aliongeza kuwa tangu siku ya kwanza Lema alipopewa maburunguti ya Pesa za Damu ili alipe madeni yake amekuwa akimuona Abdul kama Mungu mtu kwa jinsi anavyo mtetemekea.

Mara tu baada ya kumaliza ile Press Conference Abdul aliwatext wabunge wa CCM ambao Mara moja walianza kumpongeza LEMA. Mdau huyo alidokeza Ukiona hadi machawa wa Abdul akina Nape wanakupongeza Ujue umeongea pumba sana.

My take: Yanayo fanyika gizani yameanza kuja Nuruni, Tutaona mengi sana siku zijazo.
Mange aliyasema haya kabla
 
Another fake news

No wonder bu ngumu sana upinzani kuchukua nchi

Hakuna strategies zaidi ya fake news and gossips
 
Back
Top Bottom