Press conference ya ACT-Tanzania

Nyota ya kwenye bendera ya ADC ni nyota ya kupigia Ramli kwa waislam Magaidi
Ndugu zangu Waislam hawa ndiyo Chadema wanataka muwaunge mkono wachukue dola, wasomeni wenyewe wanavyotoa kashfa kwenu.
 

Mkuu wanasema chama ni cha kiislamu kwasababu kina nembo ya nyota, sasa sijui na Cuba ni ya waislamu!
 
Naona umeamua kuingia rasmi kukitetea chama chako, kwa kukusaidia takukumbusha mbunge wa Chadema Joshua Nassari, alishasema kuwa Chadema wakichukuwa nchi kitu cha kwanza ni kuanzisha taifa la kaskazini upo.


Ritz rafiki yng habari yako?

Mnanichokoza wenyewe kwa kuniita nikija mnashindwa kujadili hoja Zaidi na kuanza kuelekeza mashambulizi kwangu binafsi!

Teh teh teh teh teh

Mi siku hizi niko kwenye majukwaa lain kabisa, MMU, Sports, Dini/Imani. Ukipita huko lazima unikute nimejaa tele!

Huku kwenye jukwaa la siasa nimekua msomaji tu! Lkn mkiniita nakuja! Au pakitokea habari nikapendezwa kuchangia ntachangia!
 
Last edited by a moderator:


Rafiki yng Ritz unaonaje mambo ya vyama tunapoelekea ktk uchaguzi Wa 2015?
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu,
Umemsoma lakini Joshua Nassari, anataka taifa la kaskazini.
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu,
Umemsoma lakini Joshua Nassari, anataka taifa la kaskazini.


Mkuu mi siwezi kumzuia mtu kuongea juu ya vyama kwasababu Ni haki yake!

Nikuombe tu maoni yako tunapoelekea kwenye uchaguzi 2015! Nini maoni yako kutokana na hivi vyama?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ume hariri post yako? Ok Joshua Nassari aliwahi kutoa fafanuzi juu ya kauli zake! Ingawa sikumbuke vzr alisema nini lkn naweza sema upotoshaji umekua mkubwa kutokana na ile kauli yake!
Tufahamishe huo ufafanuzi basi alioutoa Nassari.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi siwezi kumzuia mtu kuongea juu ya vyama kwasababu Ni haki yake!

Nikuombe tu maoni yako tunapoelekea kwenye uchaguzi 2015! Nini maoni yako kutokana na hivi vyama?
Maoni yangu Chadema watatuletea vitu na kuharibu umoja wetu Watanzania, wanataka kutugawa waanzishe taifa la kaskazini.
 
mmeanza na mguu mbaya,
kosa la kwanza majina ya chama ni ya lugha ya kigeni, mtawezaje kututetea watanzania wakati hata jina la chama chenu tulio wengi hatujui maana yake
 
Mbowe, kakanusha wapi wakat yeye ndiyo alimtuma aseme.
 
Last edited by a moderator:
hatimaye chama cha alliance for cowards and traitors kimenyimwa usajili source daraja newspaper
 
Kamanda njaa mwenzao Mohamedi Mtoi huwezi kumuona kwenye mijadala kama hii

Lakin iguse chadema uone hadi aya atamwaga hapo,njaa mbaya sana

Teh! et uislamu jaman mnaoutumia uislam achen zenu CDM sio mchezo mtasema sn.kama hamna kazi semeni
 
Last edited by a moderator:
ACT-Tanzania (Alliance for change and Transparency) hichi hakijanyimwa usajili hicho ulichosema labda...

Kwa dua zetu waislam inshallah hakitanyimwa
Ccm wazandiki wakubwa hawawezi kudhoofisha hili
 

i AM talking from a point of view of a brain-emancipatated African son (and not a brainwashed Indian imitating, Chinese imitating neither European-imitating-useless chap) to say that kwa mwafrika yoyote ambaye hayupo mentally enslaved hawezi ku-claim kuwa u-confucianism au u-hindu au u-taoismi au u-budha, and the like, ni dini yake yeye mwafrika. Hata kama imetokea kuwa kajikuta kwenye moja ya dini hizo sababu ya kihistoria ama ya utumwa ama ya vizazi vyake kuingizwa huko mwenye hizo dini huko zamani, basi leo baada ya kwenda shule na kujitambua lazima mwafrika huyo ajue yupo humo si kwa sababu dini hiyo ni ya mwafrika ila yumo humo kwa sababu tu za ki-His Toria. Vinginevyo hizo zote ni dini za kutoka nje ya Afrika na nyingi zilikuja kueneza utumwa dhidi ya mwafrika na kufanya biashara(kama zinavyofanya leo). dini zote ambazo asili yake si Afrika na zinashadidiwa na wamatumbi ni dini zilizoletwa na wakoloni kutoka nje hence DINIKOLONI. Inaweza kuwa DiniKoloni-Hindu, DiniKoloni-Taoisms nk nk, almradi si dini asili ya mwafrika basi hiyo ni DiniKoloni. na hivyo ni ufala tu kwa waafrika kujenga misingi ya ya migawanyiko, chuki, fitna kuuana kwa misingi ya dini hizi ambazo to begin with hata siyo dini za waafrika any way. kwa nini tunauana kwa misingi ya dini za wanaume wengine? kama ni lazima kuwa ili malengo yetu ya kisiasa yafanikiwe ni lazima tutumie gia za udini kwa nini basi kama waafrika tusibuni na sisi dini zetu (kama vile wahindi, wachina, wazungu, waarabu nk walivobuni za kwao) na tuzitumie hizo kujenga hiyo migawanyiko tunayoitaka kwa malengo yetu ya kisiasa na kiuchumi? ni lazima sisi kama waafrika tutumie dini za wanaume wengine kujenga hoja zetu sisi waafrika? tumelaaniwa au? hata ubunifu mdogo tu wa kubuni dini zetu unatushinda hadi tung'ang'anie hizi za wazungu na waarabu zilizotumika kama gia ya kutuingiza utumwani na katika minyonyoro ya ukoloni mkongwe, ukoloni mamboleo na hata ukoloni wa mkoloni mweusi?

BTW, nipo kwenye utafiti wa kutaka kujua hivi kuna wamatumbi wangapi amabao ni confucianists, wangapi ni hinduists,taoists na ni wangapi ni budhaists? kama hawapo ni kwa nini? au ni kwa vile Taoists hawakufanya biashara ya kuasi pum.u za babu zake big show kama walivyofanya wale wengine? ni kwa nini dini za waarabu tu (islam) na wazungu tu (christian) ndizo zilizukumizwa kwa wamatumbi? je hizo nyingine siyo dini? ni kwa nini mchina ana dini yake, mjapan anayo, mhindi anayo nk nk lakini waafrika wamebakia kumwagiana tindikali wenyewe kwa wemyewe kwa ajili ya dini za wengine? mwafrika ni mlaaniwa au? mwafrika kama mtwana hakuwa na dini mpaka atumie hizo za mabwana zake? kwa nini maadui za waafrika, wakiwemo waafrika wenyewe, wanafanikiwa sana kutumia DiniKoloni kuwachonganisha na kuwapumbaza waafrika ili washindwe kufikiri na kuamua sawasawa kwa maslah mapema ya waafrika na badala yake kubakia kuamua kwa misingi ya DiniKoloni, na mara nyingi ni hii DiniKoloniArabu na hii DiniKoloniMzungu? mbona hatuwasikii confucianists au hinduists wakiwalipua au kumwagia waafrika tindikali kwa misingi ya dini zao? au wao hawataki kwenda mbinguni kurithi vigoli?

kama meli ya kwanza kusafirisha watumwa waafrika iliitwa jesus, je, kuna namna ambavyo hilo linasaidia kuzifanya DiniKoloni zisiwe laana kwa Mwaafrika kama ilivyo sasa? big show embu tueleweshe.
 


Umeongea maneno meeengi sana,lakini nakujibu kwa ufupi sana,

kwamba nashukuru kwa wewe kukiri kwamba dini yako ni dini ya mkoloni,lakini ya kwangu mimi si ya mkoloni,

na sio mwafrika pekee anaeamini katika uislam,wapo hata wazungu wengi kila leo wanaingia katika uislam na hawajatawaliwa na waarabu kusema kwamba dini hiyo iliepelekwa enz hizo,na kwamba dini hiyo labda ilienezwa kwa upanga kama inavyosemwa

kahtaan atakuja kukupa vifungu katika bible ambavyo vilieditiwa ila kurahisha baishara hiyo haram,

so kwa mujibu wangu mimi,au wetu sisi uislam umekuja na vifungu kabisa vya kupiga marufuku biashara hiyo na sio kusapoti,so tuko proud na hilo

nashangaa sana kuona watu wanataka kuja na propaganda kwamba uislam ulihamasisha utumwa kwa kumuona mwarabu kuja kufanya biashara hiyo,uislam si uarabu,besides wapo waarabu wengi ambao si waislam,i mean wapo christians arabs na kadhalika,tembea utajionea

So,we love islam kwa kuwa ni dini pekee iliyosimama kidete kupinga uonevu na unyanyasi kama ule
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…