Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 222
- 99
deloitte wataanza kuwapigia watu waliokuwa short listed wiki hii na wiki ijayo - ni kwa wale wenye masters degree tu
Nafasi za Directors walishafanya INTERVIEW.
Last week.Wamefanya lini?
Mkuu kwahiyo wakifika nafasi Fulani kwa mfano senior analyst wanapiga simu? au wameshawataarifu wale wanaohitajika kwa kada zote?Nafasi za Directors walishafanya INTERVIEW.
So mkuu wenye masters ni uhakika tusubiri simu?Deloitte wataanza kuwapigia watu waliokuwa short listed wiki hii na wiki ijayo - ni kwa wale wenye masters degree tu
Hawa shortlisted waliwatangaza? yaani hiyo list wanayo wao tu au tayari wahusika wanajijua?Kuna mtu kanipa habari kwamba wale waliokuwa shortlisted wataanza kuitwa tarehe 6 Januari kwamba walipisha sikukuu zipite, sijui kweli?
Hawa shortlisted waliwatangaza? yaani hiyo list wanayo wao tu au tayari wahusika wanajijua?
ISIJE KUWA KAMA T P A WAMEPEANA NA HAWAKUWA NA SABABU YA KUSUMBUA WATU.
MKUU WA KAYA ANATAKIWA KUINGILia.....Walifanya...TPA, NHC,....NSSF, PPF AJIRA NI KIINI MACHO......
Hii ya TPA Hata mimi iliniuma sana sana sana,TPA UNASHTUKIA TU ETI WAMESHACHAGUANA,NILIFIKIRI NI MIMI TU NDO NIMEONA HIYO KITU YA TPA.MBAYA SANA NA UTOVU WA NIDHAMU KUSUMBUA WATU.ISIJE KUWA KAMA T P A WAMEPEANA NA HAWAKUWA NA SABABU YA KUSUMBUA WATU.
MKUU WA KAYA ANATAKIWA KUINGILia.....Walifanya...TPA, NHC,....NSSF, PPF AJIRA NI KIINI MACHO......