President wa chuo cha Tumaini Iringa

nauchungu

New Member
May 16, 2011
1
0
Jumamosi iliyopita Tumaini Iringa imepata rais mpya, nafurai kusikia ni mwanamapinduzi shaka yangu ni kama ni mwanamapinduzi wa ukweli.

Wanaomfaham mtu huyu watusaidie asije akawa bepar au isije ikawa wale watu maarufu wanaovaa sare za kijani ndio wamemuweka.
 
I think there is something missing with your thread, you should finish your homework buddy!
 
jumamosi iliyopita tumaini iringa imepata rais mpya, nafulai kusikia ni mwanamapinduzi shaka yangu ni kama ni mwanamapinduzi wa ukweli.wanaomfaham mtu huyu watusaidie asije akawa bepar au isije ikawa wale watu maarufu wanaovaa sare za kijani ndio wamemuweka

I think there is something missing with your thread, you should finish your homework buddy!

Kwanza KARIBU SANA JAMVINI

Pia,Wajanja walishaileta hii taarifa siku ileile ilipotokea, na tukawapa big-up!

Aksante anyway!
 
Back
Top Bottom