Waliotuambia ni waongo wakubwa, sasa tunajua Samia ni dikiteta tu.Tuliambiwa kwamba Rais Samia karejesha demokrasia, amani, utulivu, haki, n.k.
Jiwe =shetaniTuliambiwa kwamba Rais Samia karejesha demokrasia, amani, utulivu, haki, n.k.
Twende mbele mpaka leo hii ambapo kuna watu waliandamana kupinga mkataba wa serikali na kampuni ya DP kutoka Dubai.
Vijana wamejitokeza na mabango yao na wakaingia barabarani ili kuonyesha kutokufurahishwa kwao na matakwa ya huo mkataba.
Hiyo ni haki yao kabisa inayolindwa na katiba. Ni haki yao ya kikatiba.
Lakini cha ajabu, wameishia kuchezea virungu vya polisi wa Samia na wengine wamekamatwa na kupandishwa kwenye Difenda za polisi.
Kosa lao ni lipi? Eti ni kuandamana!
Sielewi! Toka lini haki iliyopo kwenye katiba ikawa ni kosa?
Demokrasia aliyoirejesha Samia ni ipi hasa?
Wakishindwa hoja, wanaanza kutumia mabavu.
Kama huo mkataba hauna ubaya wowote, basi waache kutumia mabavu.
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Ukianza kujibu hoja kwa mabavu, basi ni ushashindwa. Unalazimisha tu.
Kwa hiyo wamekupiga virungu vingapi kwasababu hujasupport vita vya Ukraine?Hakuna democrasia Tanzania. Hata marekani pia hakuna democrasia ni uhuni tuu.
Jambo likishakuwa la public interest lazima nguvu itumike popote pale.
Hao wamarekani wanaojifanya Baba WA democrasia mbona hawatuachii Uhuru waafrica tuamue tusapoti Nani kwenye mgogoro WA Ukraine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi ndio mnaompofusha Rais, na kumfanya achukiwe. Siku zote ukofanya jambo ambalo mpinzani wako alilitarajia, umekwishafeli.Hoja zao zimejibiwa lkn wamegoma kuelewa, hatuwezi kukubali wahuni wachache watuharibie nchi, nasema hivi watandikwe tu.
Mtu ambaye hawezi kufikiri sawasawa huwezi mpatia uhuru wake, waafrika hawawezi kufikiri sawasawa uwezo wao ni mdogo, chukulia mfano wa bandari maamuzi yaliyofanyika. Je waliofanya hayo maamuzi ambayo watu wanayalalamikia unaona wamefikiri sawasawa. Halafu hawa ndio unaona tuwape uhuru wao???Hakuna democrasia Tanzania. Hata marekani pia hakuna democrasia ni uhuni tuu.
Jambo likishakuwa la public interest lazima nguvu itumike popote pale.
Hao wamarekani wanaojifanya Baba WA democrasia mbona hawatuachii Uhuru waafrica tuamue tusapoti Nani kwenye mgogoro WA Ukraine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupa moja, bandari ni suala la Muungano...ni kwann sasa mkataba wa bandari unazihusu bandari upande wa Tanganyika peke yake nakuziacha zile za Zanzibar, sio ubaguzi huu ni kitu gani?!.Kaongea masaa kumi lkn alichozungumza ni porojo tupu!
Tumuombe mungu atupe subra kwakweli, niwape pole wote waliopatwa na changamoto hiyo, mungu awape moyo wa subra.Demokrasia ya kufanya mikutano ya kisiasa ndio imerejeshwa na Ccm kwa sasa, hiyo ya kuandamana isubiri majadiliano mengine.
Nyie wachache wa kupinga maendeleo hata mkimchukia mama hakuna shida, watz wengi Samia tumemwamini na tunampenda.Ninyi ndio mnaompofusha Rais, na kumfanya achukiwe. Siku zote ukofanya jambo ambalo mpinzani wako alilitarajia, umekwishafeli.
Hawa polisi wasiojua kutumia akili, walipogoma tu kutoa ulinzi ambao wao wanauita kibali, kila mmoja, kwa kuujua upeo na akili ndogo za polisi wetu, alitarajia kuwa wangeishia kuwapiga watu. Na ndicho walichokifanya.
Na huu naamini ni mkakati uliopangwa vizuri kuhakikisha Samia anazidi kuchukiwa na wananchi walio wengi kadiri tunavyousogelea uchaguzi.
Majibu ya swali lako haya hapaNakupa moja, bandari ni suala la Muungano...ni kwann sasa mkataba wa bandari unazihusu bandari upande wa Tanganyika peke yake nakuziacha zile za Zanzibar, sio ubaguzi huu ni kitu gani?!.
Mwitikio wake ulikuwa ni mdogo sana. Waliojitokeza kuandamana ni wachache mno ukilinganisha na uwingi wa maoni ya wananchi hususan mitandaoni.Kuna watu humu walidai kuwa Watanzania ni waoga, hawawezi kuandamana.
Kiongozi mkuu kuendelea kumnyamazia suala hili Si BUSARA.
Aitishe PRESS, waalikwe waandishi wa habari, aje aeleze na kujibu maswali ya wananchi.
Cha msingi zaidi Muungano uvunjwe.Tuliambiwa kwamba Rais Samia karejesha demokrasia, amani, utulivu, haki, n.k.
Twende mbele mpaka leo hii ambapo kuna watu waliandamana kupinga mkataba wa serikali na kampuni ya DP kutoka Dubai.
Vijana wamejitokeza na mabango yao na wakaingia barabarani ili kuonyesha kutokufurahishwa kwao na matakwa ya huo mkataba.
Hiyo ni haki yao kabisa inayolindwa na katiba. Ni haki yao ya kikatiba.
Lakini cha ajabu, wameishia kuchezea virungu vya polisi wa Samia na wengine wamekamatwa na kupandishwa kwenye Difenda za polisi.
Kosa lao ni lipi? Eti ni kuandamana!
Sielewi! Toka lini haki iliyopo kwenye katiba ikawa ni kosa?
Demokrasia aliyoirejesha Samia ni ipi hasa?
Wakishindwa hoja, wanaanza kutumia mabavu.
Kama huo mkataba hauna ubaya wowote, basi waache kutumia mabavu.
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Ukianza kujibu hoja kwa mabavu, basi ni ushashindwa. Unalazimisha tu.
Kanda ya ziwa Kila alikoenda alikutana na mabango kuhusu Bandari.Mwitikio wake ulikuwa ni mdogo sana. Waliojitokeza kuandamana ni wachache mno ukilinganisha na uwingi wa maoni ya wananchi hususan mitandaoni.
Cha kushangaza, serikali inababaishwa na hata hao wachache waliojitokeza!!
Mwalimu Nyerere alisema;"hoja hujibiwa kwa hoja,hoja hajibiwi kwa Rungu"Tuliambiwa kwamba Rais Samia karejesha demokrasia, amani, utulivu, haki, n.k.