Katika nchi zenye uchumi unaokua, serikali hazifanyi biashara! Biashara ni hodhi ya private sector, hawa ndio wenye ujasiri na umahiri wa kubeba risk na mikikimikiki ya kufanya biashara! Kazi ya serikali ni regulation; mind you: sio over-regulation au micro-management! Utaratibu wa serikali kufanya biashara ulikuwa ni usanii wa magufuli kujifanya anamuenzi baba wa taifa ili kuturudisha kwenye mfumo Command economy ya kijamaa na kisoshalisti wakati kumbe hiyo ilikuwa ni pazia tu la kufanya ufisadi na uovu wa kutisha dhidi ya raslimali za taifa na maisha ya wananchi!Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.
Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.
Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.
Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.
Ndio maana tunaitaka katiba mpya,huu ndio mwarobaini pekee wakuifanya nchi isonge mbele na iendelee. Haiwezekani,mtu mmoja anakuwa muamuzi wa mwisho wa chochote badala ya sheria kuamua.Anachokisema mama Samia kitazingatiwa na wafanyabishara wa humu ndani, lakini wafanyabishara wa nje ni ngumu, kwani wanajua kabisa huku hakuna sheria, bali kuna utashi wa Rais. Hivyo wanajua fika akiingia Rais mwingine mazingira yanaweza kubadilika muda wowote. Na ushahidi wa mwenendo huo upo wazi.
Good, serikali ibakie kufanya uwezeshaji na kukusanya Kodi za kutoa huduma kwa Wananchi..Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.
Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.
Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.
Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.
Pia Serikali iunde chombo maalumu cha kutangaza fursa za biashara Tanzania yaani kufanya marketing na promotions..Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.
Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.
Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.
Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.
Hata iwekwe kwenye katiba, itabadilishwa, iwe sheria itabadilishwa. Yeye afanye yote akijua kabisa kwamba there will be an overhaul in the future.Anachokisema mama Samia kitazingatiwa na wafanyabishara wa humu ndani, lakini wafanyabishara wa nje ni ngumu, kwani wanajua kabisa huku hakuna sheria, bali kuna utashi wa Rais. Hivyo wanajua fika akiingia Rais mwingine mazingira yanaweza kubadilika muda wowote. Na ushahidi wa mwenendo huo upo wazi.
Usiamini kila statement ya Mwanasiasa.TTCL na Airtel sijui itakuwaje?
Nakusapoti sana mama Rais wetu, Hii ya serikali kufanya biashara inatia ukakasi.Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.
Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.
Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.
Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.
Hata iwekwe kwenye katiba, itabadilishwa, iwe sheria itabadilishwa. Yeye afanye yote akijua kabisa kwamba there will be an overhaul in the future.
Hiyo sekta inatakiwa mpaka sasa iwe imeshakomaa.Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.
Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.
Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.
Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.
TANESCO inafanya nini?Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.