President Obama to meet with Putin

President Obama to meet with Putin

Kuna vitu vinaongelewa humu ndani ambavyo hata Urusi na Marekani mwenyewe hawezi kuvisema, yani mnawaamini kuliko wanavyojiamini wenyewe. BIG UP WATANZANIA WENZANGU.
 
Mkuu Jambazi.. Putin huwa hana / hapendi mbwembwe za ulinzi mkubwa akiwa ziarani kwenye nchi za watu .... ila sema tu Pikipiki ndo huwa nyingi karibu na gari lake

B138PqYIMAI5h6P.jpg


Sasa miboda boda yote hiyo ya nini?

So ridiculous.
 
Wewe NN ushaaanza tena mambo yako! Acha kudanganya watu .. hivyo vyote anavyo tena vingi .. kwanza ujue yeye ana presidential aircraft fleet kabisa

haya hii hapa ni moja ya ndege za Rais wa Urusi Putin ... ambayo hii ni aina ya Ilyushin Il-96-300P . hii ni special plane ambapo wenyewe wanaiita "Command Point".

_b120310.jpg


PAY-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg


MAIN-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg

PAY-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg


PAY-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg


Il96-300pu-96016.jpg


cc:
Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. PRESIDENT ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau retroviridae kadoda11 idawa TUJITEGEMEE . lee van cliff @.


Huyo jamaa anaendeshwa na mahaba bila uhalisia.
 
Last edited by a moderator:
Huwa chama cha democratic ni peace maker ngoja waingie republican putin atakuwa kimya coz ni wazee wa boot required
Wewe concrete15 ... acha kujifurahisha eti Russia huwa hawafurukuti kwa Republicans! ... kwa taarifa yako tu ni kuwa Russians they don't care ... tena kwa Russians wao huwa wanasema ni afadhali ya Republicans kuliko Democrats! kwa kuwa you can make a deal na Rais wa Republicans na ika-stick kuliko Democrats as huwa kama hawajiamini katika International policies!

Na ukiangalia zaidi utakuta kuwa Rais Bush alikuwa ana urafiki wa karibu na Putin kuliko wengine & remember ule msemo wake Bush juu ya Putin aliposema

"I looked the man in the eye. I found him to be very straight forward and trustworthy and we had a very good dialogue.

"I was able to get a sense of his soul.

"He's a man deeply committed to his country and the best interests of his country and I appreciate very much the frank dialogue and that's the beginning of a very constructive relationship," Mr Bush


Link:
http://news.bbc.co.uk/2/hi/europe/1392791.stm



egaz1.jpg


BushPutinGolfCartG8.jpg



.

LAKINI

Licha ya hayo yote hayakumzuia Russia kuishambulia Georgia mwaka 2008 pale wakati ule Rais wa Georgia Saakashvili alipoamua kutumia nguvu dhidi ya South Osetia & Abkhazia.

Rais wa wakati ule wa Georgia alitegemea kuwa NATO wangemsaidia maana askari wa NATO walikuwa nchini mwake - so alitegemea msaada wao - cha ajabu baada ya Russia kuivamia nchi yake Bush akaogopa kuingilia na akamtolea nje jamaa na kumuuliza kwa nini amewaprovoke Russians? - jamaa akaishia kuuma Tai ikulu huku akiongea na Bush - bush alimwambia hawezi kurisk usalama wa Raia wa Marekani dhidi ya Nuclear War kwa sababu ya nchi ambayo ipo East Europe!








VIDEO:


Askari wa Russia wakiteka askari na magari ya US (Humvee) ya NATO yaliyokuwepo Georgia


10979.jpg


Gathering captured munitions in Gori (Georgia). US M16 rifles.

15372.jpg





N.B:


Haya yote yalitokea wakati wa Rais wa Republican Rais Bush! ...

Haya sasa niambie kama walivamia nchi nyingine wakati wa Republicans


  • Rais MBABE Bush
  • + Condoleeza Rice
  • + Colin Powel
  • + Karl Rove
  • + Waziri Mbabe wa Ulinzi Donald Rumsfeld!

... ambao wote walikuwa wababe lakini WOTE Republicans walinywea ... wewe toa tu stori zako lakini sehemu Russia wakiamua US - bila kujali ni Republicans au Democrats huwa wananywea na kujiuliza mara mbili mbili! ... mfano mzuri ni Syria sasa hivi ... baada ya kuonekana kuwa Russia imedhamiria kumuokoa Rais wa Syria na kuingilia kijeshi mbona US + her Allies wamebadilisha gia angani! na sasa wanataka Assad abaki & wafanye mazungumzo nae! .
 
Last edited by a moderator:
Dotworld,

Sasa delegates wapo NYCity leo. Tusibri tuone nani ataondoka NEW YORK as the main player of world politics. Only time will tell.

Sipendi mahaba ya kipumbavu,...Motor Cade ya Obama wala Airforce One hazibadilishi world politics. Kama zingebadilisha basi THE EMIRATES wangekuwa wa kwanza kwa duniani.
Mkuu MALCOM LUMUMBA .. thanx kwa post yako hapo juu, kwa kweli umeongelea vitu mbalimbali tena na vyote ni kweli tupu!

Kuhusu nani ataondoka New York as the main player of World politics nafikiri hili halina mjadala tena! ... maana mara baada ya Putin wa Russia kutoa hotuba yake, ile ya Obama imesahaulika na kila sehemu duniani watu wote wanajadili hotuba ya Putin tu na jinsi ambavyo alivyowagaragaza UN nchi zote za West + US.

Anyway, video ya hotuba ya Putin (complete) aliyoitoa UN na mambo aliyoyazungumzia nimeshaipost hapa JF unaweza kuifuatilia uone aliyoyazungumza ... ila jamaa ni hatari.

Link video Hotuba ya Putin UN": https://www.jamiiforums.com/international-forum/942683-do-you-realise-what-youve-done-putin-addresses-un-2015-full-speech.html#post14157455
 
Mkuu MALCOM LUMUMBA .. thanx kwa post yako hapo juu, kwa kweli umeongelea vitu mbalimbali tena na vyote ni kweli tupu!

Kuhusu nani ataondoka New York as the main player of World politics nafikiri hili halina mjadala tena! ... maana mara baada ya Putin wa Russia kutoa hotuba yake, ile ya Obama imesahaulika na kila sehemu duniani watu wote wanajadili hotuba ya Putin tu na jinsi ambavyo alivyowagaragaza UN nchi zote za West + US.

Anyway, video ya hotuba ya Putin (complete) aliyoitoa UN na mambo aliyoyazungumzia nimeshaipost hapa JF unaweza kuifuatilia uone aliyoyazungumza ... ila jamaa ni hatari.

Link video Hotuba ya Putin UN": https://www.jamiiforums.com/international-forum/942683-do-you-realise-what-youve-done-putin-addresses-un-2015-full-speech.html#post14157455

To the RUSSIAN BEAR HURRAAAAY!!!!
Sema Uko mbali ningekununulia VODKA banaaa.
 
THERE ARE DIFFERENT FORMS OF CLOWNS!!!
SO RIDICULOUS.
[video]https://youtu.be/7ZCsfyaOGdw[/video]

Ona sasa hata table manners tu halina,..


:usa2::usa2: U.S.A BABY!!!

 
THERE ARE DIFFERENT FORMS OF CLOWNS!!!
SO RIDICULOUS.
[video]https://youtu.be/7ZCsfyaOGdw[/video]

:usa2::usa2: U.S.A BABY!!!


Ha! ha! ha! ... Mkuu MALCOM LUMUMBA Obama kajiaabisha kweli! ... yaani ana-toast wakati wa National Anthem ikipigwa! ... ndio maana hata Queen mwenyewe kagoma kunywa ... jamaa ikabidi ayeyushe kiaina!
 
Last edited by a moderator:
THERE ARE DIFFERENT FORMS OF CLOWNS!!!
SO RIDICULOUS.
[video]https://youtu.be/7ZCsfyaOGdw[/video]

Ona sasa hata table manners tu halina,...

Lol!,...nyie jamani naona wamarekani hapa walichemka hawaku muandaa Obama vizuri on this one, spending time with the queen is pretty complicated let alone dining with her!
Kuna vitu vidogo dogo hutakiwi kuvifanya ukiwa na queen na ukikosea unaonekana huna adabu.
Nakumbuka hata Michelle alikuwa questioned alivovaa sleeveless dress mbele ya queen.
 
Back
Top Bottom