President Obama to meet with Putin

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
President Barack Obama and Russian President Vladimir Putin will meet during next week's gathering of the United Nations General Assembly, a senior administration official said. The official noted the meeting comes "at the request of President Putin."

"Given the situations in Ukraine and Syria, despite our profound differences with Moscow, the President believes that it would be irresponsible not to test whether we can make progress through high-level engagement with the Russians," the official said.

White House officials have repeatedly complained about Russia's recent military buildup in Syria, a move the Kremlin insists is aimed at defeating ISIS. But Obama administration officials suspect Putin is attempting to gain a foothold in the war-torn country should it collapse under the weight of a bloody civil war.

"Russia's decision to double down on Assad is a losing bet," White House press secretary Josh

Earnest said, accusing Putin of propping up Syria's embattled leader, Bashar al-Assad.

During their bilateral discussion, Obama will press Putin to deescalate tensions in Eastern Ukraine where pro-Russian forces continue to clash with the Ukrainian military.

"In particular, our European partners have underscored the importance of a unified message about the necessity of fully implementing the Minsk agreements," the senior official said about the ceasefire agreements designed to end the conflict.

Obama discussed the situation in Eastern Ukraine with German Chancellor Angela Merkel earlier this week.

The last face-to-face encounter for the two leaders occurred during the G20 summit in Australia last November. Prior to that, Obama and Putin briefly discussed the crisis in Ukraine in June during the 70th anniversary of D-Day. Their relationship has soured since Moscow's annexation of Crimea from Ukraine, a military action that resulted in Russia's expulsion from the G8 group of world leaders.



Obama and Vladimir Putin to meet at U.N. next week - CNNPolitics.com
 
Teh the obama atamwona mbabe wake naamin akiyimua madarakani hatomsahau putin kwa kipindi alichokaa madarakan.
 
obama kweli hatamsahau putin,,,mwaka jana alikuta putin kamblock katika facebook page,obama alifyumu vibaya sana
 
Najiuliza ulinzi wa Putin akiwa USA itakuaje na wao wataliteka anga la Marekani !

Hizo mbwembwe wanafanyia Africa tu, kuna mwaka Bush alihudhuria mkutano wa G8 huko Russia, yaani kila sehemu Warusi walikuwa wametega vinasa sauti, ilibidi Bush akitaka kuongea na kina Condolesa Rice ishu za siri, inabidi waingie kwenye gari la rais Bush, THE BEAST, ambako ndo kulikua na fullproof kuwa maongezi yao hayatanaswa. Kwa hiyo Obama akienda Russia ama China etc, hawezi kuteka mji au hata anga
 
Mh!, these two lakini, from this pic you can tell Obama feels awkward with the touch from the look on his face.

imrs.jpeg
 
Najiuliza ulinzi wa Putin akiwa USA itakuaje na wao wataliteka anga la Marekani !

Thubutu!

Huyo ----- kamwe hawezi kuliteka anga la USA wewe.

Kwanza hana Air Force one yake, hana Marine One yake, hana the Beast lake.

Ni rais wa USA tu ndo mwenye kusafiri na hivyo vitu.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Thubutu!

Huyo ----- kamwe hawezi kuliteka anga la USA wewe.

Kwanza hana Air Force one yake, hana Marine One yake, hana the Beast lake.

Ni rais wa USA tu ndo mwenye kusafiri na hivyo vitu.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
I think u and I share 1thing in common- a strong admiration for the US.

Indeed...
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Thubutu!

Huyo ----- kamwe hawezi kuliteka anga la USA wewe.

Kwanza hana Air Force one yake, hana Marine One yake, hana the Beast lake.

Ni rais wa USA tu ndo mwenye kusafiri na hivyo vitu.
Wewe NN ushaaanza tena mambo yako! Acha kudanganya watu .. hivyo vyote anavyo tena vingi .. kwanza ujue yeye ana presidential aircraft fleet kabisa

haya hii hapa ni moja ya ndege za Rais wa Urusi Putin ... ambayo hii ni aina ya Ilyushin Il-96-300P . hii ni special plane ambapo wenyewe wanaiita "Command Point".

_b120310.jpg


PAY-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg


MAIN-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg

PAY-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg


PAY-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg


Il96-300pu-96016.jpg


cc:
Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. PRESIDENT ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau retroviridae kadoda11 idawa TUJITEGEMEE . lee van cliff @.
 
Last edited by a moderator:
Mh!, these two lakini, from this pic you can tell Obama feels awkward with the touch from the look on his face.

View attachment 291848
Mkuu kui ... hili huwa linajulikana siku nyingi kwa wataalam .... siku zote ... Obama huwa anakuwa uneasy akiwa na Putin! ... siku zote!

Angalia hii video jinsi Obama asivyo na confidence! ....





150928-obama-putin-file-jsw-756a_30b5789a3e9e599d34827f637  6588647.nbcnews-fp-1200-800.jpg


wn20130908a1a.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hehe!, eti anakuwa uneasy Dotworld unataka kulianzisha sasa, USA VS RUSSIA!

Sijui nini kitatokea kwenye huu mkutano wao, cause they have history...

https://www.google.com/url?sa=t&sou...qi=2&usg=AFQjCNEmaE2MC2bT45db2npWWE nHiUH8Ow
Mkuu kui sio Obama tu, ila viongozi wengi wazungu huwa kama wanamuogopa fulani hivi ... kwa sababu wanajua ni tough & intelligent!

Angalia hapa kwenye hii video ambayo Hillary Clinton mwenyewe alipokuwa anahojiwa na Farreed Zakaria wa CNN ambapo Hillary anamwelezea namna anavyojihisi akiwa karibu na Putin!




Na hapa ni Rais Clinton mwenyewe anamuongelea Putin kuwa ni smart & very Intelligent person!


 
Last edited by a moderator:
Teh the obama atamwona mbabe wake naamin akiyimua madarakani hatomsahau putin kwa kipindi alichokaa madarakan.
Huwa chama cha democratic ni peace maker ngoja waingie republican putin atakuwa kimya coz ni wazee wa boot required
 
Huwa chama cha democratic ni peace maker ngoja waingie republican putin atakuwa kimya coz ni wazee wa boot required
Urusi imefilisika, baada ya Saudi Arabia na Marekani kucheza na bei ya Mafuta, sasa hivi Putin in ni Kama Mtoto mtukutu, Kama humsikilizi anaweza hata kukojolea maji ya kunywa, in short debt tupu
 
Dotworld,

Bwana kaka kwanza shukrani kwa kutuletea data bile mihemko na mahaba.

Putin hapendi kufanya ujinga During any presidential Pomp na hili tumethibitisha kwenye Ziara zake nyingi tu.

Kwanza middle-east ambako Obama anaoenda na battalion moja yeye Putin anaheshimika kama nyumbani. Its simply Putin hawezi rushiwa kiatu na mwandishi yoyote wa habari..His predecessors walijenga mahusiano mazuri na nchi za kiarabu hasa zile za kiislamu. They don't have a problem with dini.

Dada kui,
Anga la Newyork lazima liwe busy kwasababu Marekani itapokea viongozi kutoka pande zote za dunia na hii haijawahi kutokea Marekani hapo mwanzo. Hii ni 70th Anniversary ya UN na watapanga tena mikakati ya miaka 15 ijayo.

Tukirudi kwenye maada yetu sasa, Obama ni lazima aonane na Putin.Atake asitake. Kwanza kuna pressure kubwa na dissatisfaction na utendaji mzima wa UN SECURITY COUNCIL. Mataifa mengi yanataka reforms zifanyike kwamba permanent members waongezwe.
Na nchi kama Ujerumani, Brazil na India zinataka kuwa katika Baraza hilo.

Shida inakuja pale ambapo wanataka wale permanent members hadi VETO POWERS zao ziangaliwe upya. Na huu mjadala umekuwepo toka muda sana na hadi kuna siku DR MAHIGA alishawahi lisema kwenye vikao vya security council alipokuwa mwenyekiti kama watu walifuatilia.

Kwa hili Putin na Obama ni lazima walijadili, tena kwa undani maana General Assembly ikishinikiza sana basi kuna hatari sana ya viongozi wengi wa dunia kuunga mkono na italeta madhara sana kwa world politics. So siyo la kushangaza saaaana.

BTW Putin hajawahi kwenda hutubia UN tangu mwaka 2005. Ila Obama na Kelly wamekuwa wakienda sana RUSSIA. Why it is simply Russia is among great players of international politics. It is an Undeniable fact.

Kwa upande wa pili Putin kasema ataenda kuongelea SYRIAN situation...that's According to Dymitry Peskov Putins spokesman. Na kasema Putin ameendaa speech hiyo kwa zaidi ya MIEZI MIWILI,.sasa imagine nini kitatokea huko.

The White house spokesman kasema the main agenda itakuwa ni Ukraine. Haya ushaona hawa majamaa washaanza kupingana kabisa. Moja ukraine na moja Syria.

Sasa delegates wapo NYCity leo. Tusibri tuone nani ataondoka NEW YORK as the main player of world politics. Only time will tell.

Sipendi mahaba ya kipumbavu,...Motor Cade ya Obama wala Airforce One hazibadilishi world politics. Kama zingebadilisha basi THE EMIRATES wangekuwa wa kwanza kwa duniani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom