President Mobutu Sese Seko of Zaire

kumbe ilikuwa rahisi kumvamia kama alikuwa anaondoka na funguo za maghala ya siraha unasubiri akisafiri unafanya yako.
 
Safi sana Mobutu raia walikuwa wajinga wajinga tu,watakubali vipi kupelekwapelekwa na mtu mmoja tu,ole wake atokee mtu TZ eti anataka kuongeza muhula sijui anataka kutufanya mabwege,mbona maji ataita mma!
Nalog off
 
hivyo ni vijicent tu banaa. watu wanamahela wacha kabisa
 
Licha ya pesa na mamlaka ila hakuwa happy muda wote kama watu wanavyodhani
Alikua anakabiliwa na majaribio ya kumuua,matatizo ya kifamilia,stress za kuongoza nchi,usaliti nk
The guy lived a busy and stressful life hata yeye aliwahi kusema. Na aliamka alfajiri sana saa kumi na moja na kulala usiku sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa namkubali sana. Kuna mtu hapa JF anaitwa lucas mobutu sijui ni ndugu yake maana anamjua kinoma
Walikua na ndumba kinoma
Alipotoka madarakani kuna ndugu yake aliita mavoto alikua amekufa akazikwa na dhahabu na madini ya bei sasa wajeda wakaenda kufukua kaburi.kufika wakapiga risasi kwenye kaburi ilirudi ikampiga kifuani mmoja wao,walikimbia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…