On behalf of Tanzanians President Magufuli tweeted to express state's sadness on the death of 90 year old Cuban iconic leader.
On behalf of my self...!!!! wataalamu wa structure hii ni nafsi ya ngapi.
On behalf of Tanzanians President Magufuli tweeted to express state's sadness on the death of 90 year old Cuban iconic leader.
Kenya hawajifunzi ni Lugha ambayo wanazaliwa Nayo kiswahili labda Mombasa miji kama Nairobi mtoto anakua na Kiingereza kiswahili ni Lugha ya pili kwa most KenyansNi aibu sana english imekuwa tatizo sana kwa watanz., kule Kenya huanza kuifundisha hii lugha tokea KG1 watoto wanaanza darasa la 1 wanaanza kusoma vitabu vya english hapa Tz mtu ni dr, phd or suji masters hao form 6 ndo usiseme hamna kitu ata barua ya kuomba kazi ni shida
ningekuwa mimi, ningepitia kwanza wenzangu wamesemaje,halafu naboreshea mumo kwa mumo ili kuepuka criticism za wabongo kama hizi.
I do.Who cares?
HAHAHHHAHAHAA,na mimi nilijiuliza,hahahahhahaOn behalf of my self...!!!! wataalamu wa structure hii ni nafsi ya ngapi.