President Magufuli Mourns Fidel Castro death

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,806
12,221
On behalf of Tanzanians President Magufuli (PhD) tweeted to express state's sadness on the death of 90 year old Cuban iconic leader.





IMG_20161127_074939.jpg








 
Iwe kwa vitendo maana Castro aliongea na kutenda ....

Nyerere ndiye aliweza Sera zake.......
 
Ni aibu sana english imekuwa tatizo sana kwa watanz., kule Kenya huanza kuifundisha hii lugha tokea KG1 watoto wanaanza darasa la 1 wanaanza kusoma vitabu vya english hapa Tz mtu ni dr, phd or suji masters hao form 6 ndo usiseme hamna kitu ata barua ya kuomba kazi ni shida
Kenya hawajifunzi ni Lugha ambayo wanazaliwa Nayo kiswahili labda Mombasa miji kama Nairobi mtoto anakua na Kiingereza kiswahili ni Lugha ya pili kwa most Kenyans
 
ningekuwa mimi, ningepitia kwanza wenzangu wamesemaje,halafu naboreshea mumo kwa mumo ili kuepuka criticism za wabongo kama hizi.

:D:D:D:D:D sina mbavu mkuuu......, kwaiyo ungemsubiri Obama kwanza kaandikaje
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom