BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,347
- Thread starter
- #21
Hilo ni swali muhimu ambalo linastahili kujibiwa lakini njemba ndiyo imeamua kuingia mitini kwenye hili sakata ikijua fika kwamba, "Huu ni upepo tu nao utapita." labda walitaka TRA ianze kukusanya kodi toka kwa wauza unga.
At some point, the then minister of State in Prime Minister's Office (Policy and Parliamentary Affairs), Mr Philip Marmo, said President Kikwete had formed a task force comprising officials from Tanzania Intelligence Services, Tanzania Revenue Authority, the police force and the Drug Control Commission to deal with the matter.
Wakuu, naomba mwongozo hapo kwenye Bold, mkuu wa kaya aliunda task force ya kushughulikia hili tatizo, uwepo wa TRA ukoje kwenye hicho kikosi kazi? Wote tunajua Role ya TRA ni nini, so ilionekana kama hi biashara yaweza rasmishwa? I am in dilema guys, please help me.