ICJ ndio mwamuzi wa suala hili. Tulipeleke mahakamani haraka iwezekanavyo.Hatutaki vita sisi wote ni black race. Tusiuwane sisi ni ndugu moja.Pan-africanism itumiwe katika maeneo kama haya na si vita.

Juzi aliwaalika wanadhimu wa kijeshi wa USA, nadhani wamezidi kumpumbaza kuwa atashinda mgogoro huu,
Banda nikuhabarishe tu kuwa Tanzania ni super military kwa afrika mashariki na kati!
Tanzania ni nchi ya kwanza afrika na ya 6 duniani kwa uwezo wa kupigana vita vya ardhini, kwa afrika ni ya kwanza!
Hatutaki vita, tunataka suluhu ya mazungumzo!

Kwa kuamini kwako kuwa umasikini wetu unatokana na vita vya uganda inaonyesha jinsi gani ulivyo kilaza..! The only issue is corruption, jiulize inakuwaje mtanzania mmoja amiliki trilion 3 za wizi na mtu huyo anaheshimika nchini? Halafu calculate the total sum lost ndo utajua kama unastahili kuwa na makovu au laa.Kila lakheri ndugu yangu kama wewe una advocate vita. Vita ya Uganda hadi leo makovu yetu hayajapona wewe unafanya ushabiki wa vita au unafikili vita ni mchezo. Halafu lazima ujue Dunia hii ina super nations, Nchi yetu si kubwa kiasi hicho.Tukianza vita kuna baadhi ya viongozi wataanza kutafuta namna ya kuiba.
Naona wewe Kifarutz hujaelewa mantiki yangu. Ninachojaribu kukwambia ni kwamba usishobokee vita.Kwani wanasiasa wenu baadaye watapata sababu ya kusingizia umaskini wetu katika vita hiyo.Na pia wakati wa Vita pesa nyingi sana huwa zinaibiwa na wajanja wachache hasa viongozi.Soma report za dunia kuhusu utoroshaji wa pesa, kipindi cha vita ya Uganda na Tanzania pesa nyingi sana iliibiwa na Viongozi wetu.Mimi mtu wa kijijini ambaye umaskini kwetu umetamalaki siwezi hata kidogo kushobokea vita kama wewe unavofanya.Kama mnapesa namna hiyo za kupigana vita si zitumieni kuboresha miundombinu ya umwagiliaji kwa wakulima na jengeni shule za kutosha ili tupate maendeleo makubwa. Acha hizo. Vita hailipi kwa taifa maskini kama hili. Mnataka kuwapa faida wauza silaha.