Huyu aliyeanzisha msemo wa "Black Americans au African Americans" ni nani, maana sijawahi kusikia hao weupe wakiitwa kwa asili ya utaifa wao. Tukizingatia kwamba hata hao nao hawana asili ya Marekani.
Muulize NYANI...hehehehe. Anajifanya wazungu sio racists! Na kutoa hoja za kijinga! Na muulize kuhusu hii pia
YouTube - Rodney King
Muulize NYANI...hehehehe. Anajifanya wazungu sio racists! Na kutoa hoja za kijinga!...
Huyu aliyeanzisha msemo wa "Black Americans au African Americans" ni nani, maana sijawahi kusikia hao weupe wakiitwa kwa asili ya utaifa wao. Tukizingatia kwamba hata hao nao hawana asili ya Marekani.
Nashukuru mkuu kwa maelezo yako, lakini uoni kuwa hii tumeirithi indirect, kutokana na kutawaliwa kwetu na hao wakoloni, baada ya wao kutubagua sana tena hata kwenye nyumba za ibada?Heshima mbele mkuu. Black Americans was the term used to describe Americans of African origin by the whites(especially in the racist South). They themselves(African Americans) then decided that they would rather be known as African Americans. Lakini unajua mbona hata sisi tuna waita watanzaia wengine kwa majina kama haya kwa mfano Muarabu au Mhindi. Kwa hiyo tusi waseme kwa kitu ambacho hata sisi Watanzania wenyewe tuna kifanya. Nadhani mtu akifanyiwa ndiyo anakua sensitive ila akifanya hajioni. Nadhani nime fanikiwa kukueleza kidogo mkuu X-Paster.
Nashukuru mkuu kwa maelezo yako, lakini uoni kuwa hii tumeirithi indirect, kutokana na kutawaliwa kwetu na hao wakoloni, baada ya wao kutubagua sana tena hata kwenye nyumba za ibada?
Unajua mkuu sisi tuna ubaguzi wetu sema wazungu wame tuwahi ndiyo maana hatu kawii kuwa lalamikia. Kama Tanzania eti mtu ana katazwa kuoa/kuolewa na mtu wa eneo fulani au dini fulani, huo nao si ubaguzi? Hapo hatuwezi kuwalaumu wazungu. Kama sisi weusi wenyewe kwa wenyewe tuna baguana kutokana na ukabila na udini basi sisi ni worse then hao wazungu. Mimi naona tuache kulalamikia wazungu kila kitu na kuwalaumu kwa kila kitu.
Kama utakuwa umenielewa, sisi Waafrika, hususani Watanzania hatukuwa na haya mambo ya ubaguzi.Unajua mkuu sisi tuna ubaguzi wetu sema wazungu wame tuwahi ndiyo maana hatu kawii kuwa lalamikia. Kama Tanzania eti mtu ana katazwa kuoa/kuolewa na mtu wa eneo fulani au dini fulani, huo nao si ubaguzi? Hapo hatuwezi kuwalaumu wazungu. Kama sisi weusi wenyewe kwa wenyewe tuna baguana kutokana na ukabila na udini basi sisi ni worse then hao wazungu. Mimi naona tuache kulalamikia wazungu kila kitu na kuwalaumu kwa kila kitu.