Ni aibu kwa viongozi wa Africa kung'ang'ania madaraka, ni hivi punde tu Rais wa Zimbabwe ameanguka ktk ngazi za jukwaa akiwa anashuka, amekuwa akiiongoza nchi ya Zimbambwe tangu 1980 hadi sasa, Reported by Aljazeera
Sasa cha ajabu nin yeye akianguka
si ni ajali tuh,mbona hata kikwete alianguka jukwaani,,nae tuseme ni uzee?
Huyo ndiye simba wa africa
Asante kwa kuleta hii hoja. Mkuu kwa wengine siye-hapo kuna sabotage dhidi ya Usalama wa Raisi.Chunguza hizo picha vizuri utaona kulikuwa na dhihaki kubwa kwa Raisi Mugambe toka kwa wanausalama na baadhi ya Maofisa wa Ikulu. Alipofikisha magoti chini eti ndiyo wanajifanya kumsaidia-natumai raisi atakuwana na back up ya washauri kuipitia movi hiyo na kumshauri kuchukua hatua ya kinidhamu na kiusalama.
huyu wa kwetu alianguka bila hata kuguswa...
Ha ha ha!
Mugabe is the man!
Ame maneuvre jengo la AU liitwe la Nyerere!
Kiboko huyu mzee.