PrEP na PEP

PrEP na PEP

Mjomba kazola

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
33
Reaction score
14
Jaman hivi hizi dawa za
PrEP = Pre Exposure Prophylaxis na PEP = Post Exposure Prophylaxis
zinapatikana hapa tanzania?
kwa anaejua naomba anielekeze zinapatikana wapi.
nna hitaji tu kujua haimaanishi kwamba ni HIV exposure
 
zinapatikana sana kwenye angaza na vituo vya kutolea dawa za ARV.......wengine wanadai ni "Niverapin" but am not sure.......dose yake ni 28 days 1×1.....usiku unapotaka kulala
 
Mkuu,PEP ni hizi hizi ARVs za kawaida ila hutolewa kwa muda mfupi kwa mtu aliyekua exposed kuzuia uwezekano wa kuwa infected

Kwa hiyo hiyo sio a group of special medication ila ni hizi hizi tuliznazo
 
zinapatikana sana kwenye angaza na vituo vya kutolea dawa za ARV.......wengine wanadai ni "Niverapin" but am not sure.......dose yake ni 28 days 1×1.....usiku unapotaka kulala

Soma comment yangu hapo juu.Na Niverapin ni Nevirapine.Ni moja ya ARVs nyingi zilizopo.Ila sasa huwa zinatumika in combination na sio moja moja
 
Back
Top Bottom