Si umesema sikuharibii biashara?! Trust me, nikiendelea kufafanua nitakuwa nakuharibia biashara kwahiyo naishia hapa!Mzee hii ndo faida ya ultra hd account,kwa wakt mmoj wanatizama
Na ukija kwenye swala la kunigharibia hunigharibii kwa sababu hizo basic ni nafuu zaid nimeweka ultra hd plan kwa sababu itakuwa kivutio kwa wengi la kama una suggest basic palan ni bora zaid pia ni bora kwanguView attachment 1488496
Kama hawataongeza kiasi kikubwa cha subscription basi hiyo itakuwa poa sana kwa sababu kwa matumizi ya nyumbani, mtu hatakuwa na haja ya kutumia bundle tena! Na kwa ninavyoona, wakifanya hivyo hao akina NetFlix watawekwa kwenye Premium Plan ambayo sioni sababu ya DStv kuongeza subscription priceNje ya mada. Ila hili likiwezekana mpaka bongo itakuwa njema sana [emoji1474]View attachment 1488501
Kama hawataongeza kiasi kikubwa cha subscription basi hiyo itakuwa poa sana kwa sababu kwa matumizi ya nyumbani, mtu hatakuwa na haja ya kutumia bundle tena! Na kwa ninavyoona, wakifanya hivyo hao akina NetFlix watawekwa kwenye Premium Plan ambayo sioni sababu ya DStv kuongeza subscription price
But the question is: Hao Netflix na Amazon watakuwa wanaachia filamu zote ziwe accessed kupitia DStv au itakuwa ni baadhi tu?!
I say watu bana maana ata sijaona kabsa ni point yako kuu asa maana kama kutumia netflix inahitaji data inaeleweka....movie pekee usotumia data ni zile anazoleta mtaani kina dj markSi umesema sikuharibii biashara?! Trust me, nikiendelea kufafanua nitakuwa nakuharibia biashara kwahiyo naishia hapa!
Hiyo screenshot uliyoniwekea hapo juu haina jipya kwa sababu tayari nimeshasema Premium 4K ina faida kwamba unaweza kutumia 4 screens at a time!
On top of that, pia una option ya kupata high quality video ambayo ni ama 1080p or 4K!
Hahahaha aisee mkuu ivi ukienda dukani kununua maji yale ya lita 1.5 na yale 0.5 lita unafuu unakuaga wapi.. maana naona wanaonunuaga 1.5 lita wanapata naji mengi... hali kadahalika hii premium account vs standard accountSi umesema sikuharibii biashara?! Trust me, nikiendelea kufafanua nitakuwa nakuharibia biashara kwahiyo naishia hapa!
Hiyo screenshot uliyoniwekea hapo juu haina jipya kwa sababu tayari nimeshasema Premium 4K ina faida kwamba unaweza kutumia 4 screens at a time!
On top of that, pia una option ya kupata high quality video ambayo ni ama 1080p or 4K!
Kama hawataongeza kiasi kikubwa cha subscription basi hiyo itakuwa poa sana kwa sababu kwa matumizi ya nyumbani, mtu hatakuwa na haja ya kutumia bundle tena! Na kwa ninavyoona, wakifanya hivyo hao akina NetFlix watawekwa kwenye Premium Plan ambayo sioni sababu ya DStv kuongeza subscription price
But the question is: Hao Netflix na Amazon watakuwa wanaachia filamu zote ziwe accessed kupitia DStv au itakuwa ni baadhi tu?!
Na nikwambie tu mzee ukija kwenye swala la data tulio wengi 2natumia night bundle kusha movie sio wote wanao2mia bando za kawaida kudownload movieI say watu bana maana ata sijaona kabsa ni point yako kuu asa maana kama kutumia netflix inahitaji data inaeleweka....movie pekee usotumia data ni zile anazoleta mtaani kina dj mark
Hoja yangu ni BUNDLE!!Hahahaha aisee mkuu ivi ukienda dukani kununua maji yale ya lita 1.5 na yale 0.5 lita unafuu unakuaga wapi.. maana naona wanaonunuaga 1.5 lita wanapata naji mengi... hali kadahalika hii premium account vs standard account
#taarifa
I say watu bana maana ata sijaona kabsa ni point yako kuu asa maana kama kutumia netflix inahitaji data inaeleweka....movie pekee usotumia data ni zile anazoleta mtaani kina dj mark
Sasa kwavile unani-force niongee ambayo sikutaka kuongea, wacha niongee kisha nisaidie wewe!!Na nikwambie tu mzee ukija kwenye swala la data tulio wengi 2natumia night bundle kusha movie sio wote wanao2mia bando za kawaida kudownload movie
Ttcl tsh 1000 unapata 10gb
Halotel tsh 1500 unapata unlimited data
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Kabisa, and to be honest, sioni ni namna gani NetFlix wanaweza kuachia mzigo mzima! Anyway, wanaweza kuachia mzigo mzima endapo DStv watalipa mpunga wa kutosha, tena wa kutosha kweli kweli ili NetFlix afidie wateja watakaochana nao kwa sababu hawatakuwa na sababu ya kuendelea kuwa subscribers wakati wanaweza kuona kupitia DStv!mhh changamoto ndo inaanzia hapoπ
Hehehuhuhhu Afu weee jamaa wee nilizani una point za msingi kumbe unazungumzia ku download movie torrent,Sasa kwavile unani-force niongee ambayo sikutaka kuongea, wacha niongee kisha nisaidie wewe!!
Nikijiunga na TTCL Night Bundle ya 10GB, naweza kuingia Torrent or any similar website na kushusha compressed episodes ambazo hazizidi hata 250MB per episode!
Sasa kwanini nikulipe wewe Sh. 3000 halafu niishie kushusha episodes zenye 1GB per episode?! Kwanini nisitumie hizo 10GB za TTCL nisitumie kushusha zaidi ya episode 30 kwenye torrent websites badala yake nitumie kushusha less than 15 episodes za NetFlix na hapo hapo mwisho wa mwezi nikulipe?!
Hivi kwa akili yako mtu atakayejiunga vifurushi vya magumashi unavyotoa wewe unadhani source yake ya filamu ni wapi kama sio Torrent?!Hehehuhuhhu Afu weee jamaa wee nilizani una point za msingi kumbe unazungumzia ku download movie torrent,
Kwahyo apo ndo umearibu?[emoji16]
Binafsi iyo sjaona sababu unazan ao wanaolipia $11.99 kwa kila mwez hawajui kama kuna torrent?
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Weee kumbe pumba sanaHivi kwa akili yako mtu atakayejiunga vifurushi vya magumashi unavyotoa wewe unadhani source yake ya filamu ni wapi kama sio Torrent?!
Kuna kila dalili hujawahi kuitumia hiyo NetFlix na ndio maana umeonesha users accounts zisizo na majina, na kwahiyo huelewi ninachozungumza!
Shida yako ni majina,...kwahyo ulizan nauza zile moded apa kina terrarium au?[emoji2][emoji1][emoji1787]Hivi kwa akili yako mtu atakayejiunga vifurushi vya magumashi unavyotoa wewe unadhani source yake ya filamu ni wapi kama sio Torrent?!
Kuna kila dalili hujawahi kuitumia hiyo NetFlix na ndio maana umeonesha users accounts zisizo na majina, na kwahiyo huelewi ninachozungumza!
Mzee tuishie hapo kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyengine naomba unisamehe mm ni binaadam sio mkamilifu pengine nimekukosea maana kumbe nimegundua mjadala haukuwa kuelimishana...naomba msamaha wako[emoji120]Shida yako ni majina,...kwahyo ulizan nauza zile moded apa kina terrarium au?[emoji2][emoji1][emoji1787]View attachment 1488546
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Hoja yangu ni BUNDLE!!
Unless kuwe na ujanja ujanja mwingine lakini Premium Ultra inakula bundle balaa!!! Na kama mtu bundle kwake sio tatizo, unless hiyo bundle ambayo si tatizo iwe ni FREE lakini kama analipia mwenyewe, hana sababu ya kujiunga kifurushi cha magumashi kwa sababu si ajabu tayari ni subscriber wa NetFlix kitambo... sana sana ka-share akaunti kwa washikaji!
Shida yangu majina?! Shida hiyo yanini kwangu wakati sina interest yoyote ya biz yako cuz' tayari ni subscriber huku kukiwa na washikaji niliowapa password free of charge, ingawaje inaelekea na wenyewe wanagawa password yangu na matokeo yake mara kwa mara huwa napata login error na mara kwa mara nikitumiwa email kuambiwa someone from town x has logged into your account wakati hakuna yeyote ninayemfahamu kutoka huko!Shida yako ni majina,...kwahyo ulizan nauza zile moded apa kina terrarium au?[emoji2][emoji1][emoji1787]View attachment 1488546
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
π€£π π!! Kwa bahati streaming zote ndo zipo hivyo... kuanzia NetFlix, Amazon, Hulu hadi YouTube!!Mimi naona kama vile hawa Netflix wana tuibia.
Yaani ulipie kwao.alafu bado utumie bando lako
Kama wakiachia mzigo wote walionao, hakika wengi watakimbia NetFlix.Aiseee wakiweka hii NetFlix kifurushi mbona tutakimbia
[emoji1787][emoji28][emoji23]!! Kwa bahati streaming zote ndo zipo hivyo... kuanzia NetFlix, Amazon, Hulu hadi YouTube!!