Premium Adsense: Naomba ushuhuda wa aliyeipata

Premium Adsense: Naomba ushuhuda wa aliyeipata

Toka niaze hii kazi ya blog ni mwaka wa nane Sasa, na nimeshafahamiana na bloggers wengi sana wawe wakongwe na wachanga na mpaka Sasa nimeshawauzia watu akaunti sio Chini ya 20,kuna baadhi wamedai kufungiwa ila waliowengi bado wanaendeleanazo mpaka Sasa, experience yangu niliyoona ni kwamba asilimia 90 ya watu wanaofungiwa ni kutofuata masharti ya Google adsense, na haya masharti huwa yanabadilika timekwatime kulingana na namna robots zao zinavyoriport issues mbalimbali, bloggers wengi hawataki kuwa wastahimilivu wanataka kutumia shortcut ya kupata pesa haraka haraka hivi kulikuwa wanaingia kwenye kishawisha cha kutumia shortcut na hatimaye kufungiwa. Kama hutajari weka link yako hapa nitakuambia kosa lilitopo kwenye blog yako mpaka ufungiwe.
mkuu mimi nipo kwenye blogging/adsense toka 2010 so nina experience kubwa sana hata siwezi kueleza hapa na hakuna tricks na sheria za google ambayo siifafamu na pesa za google nimezipiga sana na zimeniletea maendeleo makubwa sana..so kama unaamini hakuna mabadiliko yoyote makubwa yaliyotokea kwenye adsense, haswa traffic sources, haswa kwa account mpya sina la kusema kwako, ni bora tuachane na hii mada tufanye kazi.. Kama upo dar tufanye biashara niuzie hiyo account yako ya zamani.. njoo P.M please ..
 
Toka niaze hii kazi ya blog ni mwaka wa nane Sasa, na nimeshafahamiana na bloggers wengi sana wawe wakongwe na wachanga na mpaka Sasa nimeshawauzia watu akaunti sio Chini ya 20,kuna baadhi wamedai kufungiwa ila waliowengi bado wanaendeleanazo mpaka Sasa, experience yangu niliyoona ni kwamba asilimia 90 ya watu wanaofungiwa ni kutofuata masharti ya Google adsense, na haya masharti huwa yanabadilika timekwatime kulingana na namna robots zao zinavyoriport issues mbalimbali, bloggers wengi hawataki kuwa wastahimilivu wanataka kutumia shortcut ya kupata pesa haraka haraka hivi kulikuwa wanaingia kwenye kishawisha cha kutumia shortcut na hatimaye kufungiwa. Kama hutajari weka link yako hapa nitakuambia kosa lilitopo kwenye blog yako mpaka ufungiwe.
VIdbongo.blogspot.com
 
kweli pia google adsense kwa sasa haziaminiki hata kidogo hata ufuate sheria zote hizi account mpya zinapigwa kama una traffics za social media na sio premium.. kama mwezi huu imevunja record ma-blogger wengi wamefungiwa.. kwa upande wangu nimenunua adsense account nne nilisimamia zikatengenezwa kwenye computer mpya nimezituliza mpaka mwakani kama mambo yakitulia nianze tena hawa alternative wapo vizuri sioni umuhimu wa kuhangaika na adsense kwa sasa..
Unatumia Mbadala Gani Mkuu??
Mimi Nimejiunga Na Propeller Ads,na imeiverify Ila Sijui Naitumiaje Ktk Blogspot,yani Sina Ujuz Nayo Kabisa.Wataalam Nisaidieni
 
MSAADA "::naomba uliza nifanyeje ili blog yangu iweze kufunguka kwa kutumia simu haswa kwa kutumia app ya Operamin maana inakataa hadi browser kama firefox na nyingine kubwa ila mimi napenda iwe wazi kwa wote
 
Unatumia Mbadala Gani Mkuu??
Mimi Nimejiunga Na Propeller Ads,na imeiverify Ila Sijui Naitumiaje Ktk Blogspot,yani Sina Ujuz Nayo Kabisa.Wataalam Nisaidieni
mkuu hii ndio propellar uliyojiunga.. ukiwa serious unapiga dollar nyingi japo mimi sipo serious na propellarads kwa sasa, nakomaa na revenuehits etc .. hiki ni kipato nilichopata jana..

prop2.PNG
 
propellads nimejiunga,wakanipa code za kuverify! nikafanya hvo ikakubali baada ya hapo sijui cha kuendelea,ili ianze kunipa ads ktk blogspot yangu.nipe msaada hapo mkuu
kuna direct ads, pop under ads, mobile ads na interstital ads.. hizo zipo kwenye dashboard, site kuna sehemu imeandikwa get codes ndio unaziweka kwenye site yako hizo codes
 
Back
Top Bottom