golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
- #21
Kuna watu wanaudhi, kitu kama huna ishu nacho sio lazima ukomenti. Hii ni biashara,anaweza akatokea mtu akasema mimi nina ya kiasi fulani, kikubwa cha hiyo mkakubaliana, ukaipenda, halafu ukampa ulichonacho, halafu mnamalizana. Mimi nilimuuzia mtu humu humu jf pajero, na alinilipa kwa awamu tatu ndani ya miezi miwili. Ni makubaliano tu.Tatizo wabongo wamekariri kupigwaa...we kama unaona pesa ndogo..tulia na upitee iviii...wapo watakaofika hiyo bei..nasisitiza wapo na siyo yupo.