Premier League UK

Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
2,157
975
Manchester City are on top of premier League with Arsenal after 3-1 win against New Castle United. The Table might change this afternoon when Arsenal take West Ham away from home.
 
AVRAM OUT BY CHRISTMAS

EXCLUSIVE

Bofya hapa
 
Mkubwa wangu Ole ukiwa unatoa vitu kama hivi hasa vya Ligi ya Uingereza uwe una update maana Uongozi wa Ligi unabadilika kila baada ya saa na siku. Kwa mfano kwa Jamvi hili ulilotupa lilikuwa mida ya saa 11 jioni ya Bongo wakati wanaume walioungana yaani [Man Utd] walikuwa bado hawajacheza na sasa napenda kukupa Msimamo Arsenal inaongoza ikifuatiwa na Man Utd, Man City watatu, ndugu zetu Chelski wa 7.
 
Manchester City are on top of premier League with Arsenal after 3-1 win against New Castle United. The Table might change this afternoon when Arsenal take West Ham away from home.

Nilisomea ngumbaru nisaidie.
 
Najua hapa si mahala pake but we can still have a short bread au mnasemaje? Game ikiisha basi itolewe..hilo ni ombi tuu wazee

Arsenal washafungwa kabla ya mechi kuanza! mziki wa Manyuuu wa remote hauzimwi na mgao wa umeme!
 
Ebwana unajua hawa SKY wanaweza kumtia mtu umasikini hivi hivi..sasa hivi huyu ANDY GRAY anaongopa tuuu

kuna mtu kaamua kufanya kikao cha harusi sasa hivi huku si kutafutana ugomvi?

yale yaleeee

lakini mzee unamkumbuka huyu?

Huyo Andy Gray M-scotish alirudi kwao Scotland aachie England yao...

Hayo mambo ya vikao vya harusi siku kama ya leo ni kutafutana lawama tu....
 
yaaani haponi mtu hapa leo jamani.....patachimbika old trafford piga ua garagaza..man utd lazima tuwin leo...
 
Huyo Andy Gray M-scotish alirudi kwao Scotland aachie England yao...

Hayo mambo ya vikao vya harusi siku kama ya leo ni kutafutana lawama tu....

halafu nadhani unajua kama ARSENAL ikishinda (ambayo tunajua tutashinda) basi London huwa kuna kuwa na FEEL GOOD FACTOR

yaaani haponi mtu hapa leo jamani.....patachimbika old trafford piga ua garagaza..man utd lazima tuwin leo...

imagine WIFE nakuambia eti umpleleke UPTON PARK kufanya shopping ya chakula saa hizi..huku si kutafutana UBAYA au?

kwani hiyo shopping hakuijua wakati wooote?yaaani hata chooni ikiwezekana ni mpaka mapumziko or hadi mwisho wa match....hatoi mtu kwenye luninga.......
hamna cha van persie wala van *****
 
GAME
Usinikumbushe kwa sie tuliozoe kupanda bure treni leo Picadili line vilango vyote stesheni vikowazi.
Na hiZo MI na M6 motorways ndo usiseme ziko bize si umati huo kutoka North England huo! yaani nyie we wacha tu ninakumbuka mbali sana. England bwana we acha tu!
 
kwani hiyo shopping hakuijua wakati wooote?yaaani hata chooni ikiwezekana ni mpaka mapumziko or hadi mwisho wa match....hatoi mtu kwenye luninga.......
hamna cha van persie wala van *****

wanawake utawaweza kwa visa? mie kwa kweli nawaonea huruma watu ambao wanaambiwa eti kuna mamabo ya kwenda Upton Park saa hizi...kwani lazima tule?

Ebwana unajua yale maboxi ya NTL (VIRGIN) huwa yanagoma nyakati kama hizi ...sasa hapa niko stand by na Debit card...at the same time kuna kijana mmoja wa kipemba aliniunganishia boxi lingine hilo mwanangu si mchezo yaani GAME ZOTE!

Ebwana sasa hivi natazama A406 iko tupu kabisaaaa...yaani kila mtu yuko ndani na nishaamua mie naenda kucheki hiii game kwenye PUB hapo jirani initwa DUKE OF WELLINGTON...wengi wao jamaa pale ni CHELSEA lakini naenda kuwaudhi watu tuu na mijezi yangu ya ARSENAL
 
Ebwana unajua yale maboxi ya NTL (VIRGIN) huwa yanagoma nyakati kama hizi ...sasa hapa niko stand by na Debit card...at the same time kuna kijana mmoja wa kipemba aliniunganishia boxi lingine hilo mwanangu si mchezo yaani GAME ZOTE!

Hayo mabox ya magumashi yalinitoa nishai siku moja.. since then mambo haya ya mazabe mie huwa siyataki tena.. yaani yaleyale si unayotembea uchi ndio unakutana na mkweo!
 
Ebwana unajua yale maboxi ya NTL (VIRGIN) huwa yanagoma nyakati kama hizi ...sasa hapa niko stand by na Debit card...at the same time kuna kijana mmoja wa kipemba aliniunganishia boxi lingine hilo mwanangu si mchezo yaani GAME ZOTE!

LMGDAO.....!!!Eeh bana, kumbe zako hizo heheeee. Kuna watu huwa wanaulizia. Itabidi nikutafute nikipata mteja.
 
Premier League round-up

Arsenal win again, Bolton shock champions and City still 100% at home

Anelka's goal earned Megson his first win in six games in charge

Soma hapa
 
Aston Villa 1 Arsenal 2

Blackburn 3 Newcastle 1

Chelsea 1 West Ham 0

Portsmouth 0 Everton 0

Reading 1 Middlesbrough 1

Sunderland 1 Derby 0

Wigan 1 Man City 1

Arsenal continues to lead the Premiership by tormenting the opposition.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…