Preety Boys na Ugly ones... Nani Zaidi?!

Preety Boys na Ugly ones... Nani Zaidi?!

I
Zamani kwenye matangazo ya filamu magazetini kwa wale wanaokumbuka zilikuwa zinawekwa XXX (viewer discretion and parental control) sasa my dear hizi story zako walah umenipa wakati mgumu, niko ugenini, kuna baridi kali alafu unakutana na kitu kama hivi. Huu ni unyanyasaji wa kijinsia.
itakuwa homa ya ugenini hiyo tafuta wa kukutolea ubaridi ila Penny mambo yake kweli yanatusababishia homa za ghafla mpaka imefikia wengine tukiona tu avatar yake mnara wa babel unakuwa ushanyanyuka
 
Tangia 2016 upo apa
Lkn umeanza kufahamika juzjuz
Shwar ni je jina lako lilikuwa nan kabla[emoji53][emoji53]
 
ngoja nitafute muda nije
Upo best?!

Zamani haikuwa hivi, narudia tena.,,,, zamani haikuwa hivi..... Mtu kuweka hadharani tabia zake za uasherati.... Haikuwa hivi kabisa... Baba, nusuru wanangu nitakaowazaa maana mimi nimejifunza vyema kwa mama'ngu.
Aha ahaha poleee

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemela umenitupaa

Wewe ni muongo
Kama wewe ulivyo

Mmmmh inawezekana lkn siunajua tenaaa, ila wanyamwezi wanaume wanajua mapenzi kha kha [emoji4] [emoji4]
Ila wapo kama wapemba... wakikuweka ndani hutokii ni sheedah

Hata Mimi nina sura ngumu mkuu njoo tuyajenge.
Kiru ngumu kumezaaa

Mmmmmmmhhhh [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji12] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji12] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji12] [emoji4]
Mamboz
 
Mwanaume sharti uwe mweusi hlf unadudu bayaaa lina misuli mingi...
Doh majanga hayooo

yaani unasoma storii mpaka unaimaliza ,, afu ....ngoja nikuache tu
Aha ahaha malizana nae tu

Mh [emoji15]
Kumbe mademu wa dezaini hiii..... You do exist eeeh [emoji12]
Bro usipende kudandia gari kwa mbele brus soma uzi vizuri


Tangia 2016 upo apa
Lkn umeanza kufahamika juzjuz
Shwar ni je jina lako lilikuwa nan kabla[emoji53][emoji53][/QUOTE

Jina hili hili nilipigwa ban ndio mana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaaazi kweli kweli

BTW Money Penny Jose kakumiss mbaya mbovu yaani
Jamaan miss u more namba yangu si unayo sikuhizi simwoni dar tena au kaenda dom?!

Mh [emoji15]
Kumbe mademu wa dezaini hiii..... You do exist eeeh [emoji12]

Kaaazi kweli kweli

BTW Money Penny Jose kakumiss mbaya mbovu yaani

Mje na huku kumenogaaa
Story: Money Penny ni nani lakini?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom