Niko airport (JNIA) Muda huu tuko abiria wengi ambao tulipaswa kusafiri na Precision air leo asubuhi saa 12.00 na wengine jioni hii.
Usiku saa 5 nilipigiwa simu kwa namba 225530100 kuwa ndege ina tatizo hivyo abiria tumehishiwa Fastjet itakayoondoka saa 12 jioni leo.
Mie nakwenda Bukoba nilipohoji kuhusu Bukoba nikaelezwa subiri kidogo. Nikisubiri sikupigiwa simu na nilipopiga simu haikupokelewa.
Kuna Jamaa yangu alifika na Precision kutoka KIA saa 5*usiku huo nikamuomba aulize ofisii Ya hapo airport ndipo sinema ikaanza.
Mhudumu akasema ndege ipo haijabdilishwa, alipoambiwa nimepigiwa simu akasema ngoja nicheck then akasema. Ni Kweli Ila kuhusu Bukoba jibu nitapata kesho.
Tangu asubuhi napiga simu hakuna jibu la kueleka.nimefika airport saa 9.40 mchana hadi sasa hatupati maelezo, abiria tuko wengi. Jamaa hata ofisi wameiacha tupu.
Waliopo counter wanasema subiri. Hii ndio Precision inayodharau wateja. Binti mmoja bila aibu anaulizwa anasema "tumeshazoea kelele zenu"!
Lugano