Precision Air WAmeFulia ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision Air WAmeFulia ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Davie S.M, Oct 4, 2012.

 1. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Juzi Niliwasiliana nao wanifikishe hapo Johannesburg..ndipo Nilipojibiwa kwamba Routes za South Africa Zimefutwa ...

  NikijumlishA za Zile Delay za flights zao nakuwa nime elewa ...

  Wadau Tujuzane Taarifa izi na Habri za Hii Kampuni

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 2. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Visa na mikasa s. kikeke Kufuta routes ndio kufulia? kama njia hailipi kwanini uendeshe kwa hasara?
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Sasa kama hawapati abiria wa kutosha kuhimili ushindani inabidi wafute.......!!!
  Hawawezi kujing'ang'aniza kama Air Tanzania wapate hasara halafu wafe......!!
  Lazima usome alama za nyakati na uelekeo wa upepo.............................!!!
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Walitangaza kwamba kwa sasa route za SA zimefutwa?Au ndio mambo ya Low season schedule?
   
Loading...