Precision Air wakanusha kuwa na safari ya kwenda Bukoba 17/11/2022 kufuatia uvumi wa ndege kushindwa kutua mkoani

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Kutoka Precision Air
Notice1.jpg
 
Nadhani kusema tu kwamba hakuna ndege iliyokwama ingetosha; kusema hawana ndege leo inaacha mwanya wa kwamba labda kuna ndege imekwama hata kama si ya kwao
 
Nadhani kusema tu kwamba hakuna ndege iliyokwama ingetosha; kusema hawana ndege leo inaacha mwanya wa kwamba labda kuna ndege imekwama hata kama si ya kwao
Ndiyo mkuu Air Tanzania wamekwama leo kutua Bukoba
 
Mbona kama kuna sintofahamu hapa,huyu anaye eleza ndege imeshindwa kutua ikarudi Mwanza inaonyesha ni ATCL,huku Precision nao wanasema kuwa wanakanusha huo uvumi kuwa leo hawana ndege ya kwenda Bukoba...
 
Hili suala kuna kitu nyuma ya pazia! Inshu ya ajali ni sababu tu..ni kama paka kafungwa kengelele sasa,ila si bora hata uwanja wa ndege wanao,je wanaosafiri kwa basi nao wasemeje? Kiufupi bukoba hawana stand..wangeanza na stand kwanza.
 
Mbona kama kuna sintofahamu hapa,huyu anaye eleza ndege imeshindwa kutua ikarudi Mwanza inaonyesha ni ATCL,huku Precision nao wanasema kuwa wanakanusha huo uvumi kuwa leo hawana ndege ya kwenda Bukoba...
Mbona hakuna sintofahamu hapo.
Aliyeruka ni air Tanzania.
 
Back
Top Bottom