PRECISION AIR taabani

PRECISION AIR taabani

anyway
Precission air soon tutangaza msiba na hii ni kutokana na shirika jumuiya Kenya airways kuanza kujiondoa polepole
Pengine atupendi lifanyike lakini ukiangalia hata kwenye kitabu chao cha mambo ya hisa mwenye akili asingewekeza asilimia 70 ya pesa za precission ni mkopo ...kutoka benki ..mwaka jana walifikia citybank kuweka watu wao pale counter kuhakikisha kila tkt inayouzwa wanahifadhi pesa yao mbaya nasiskia wakaingia mpaka kwenye counter kusubiri exc bagge hii ni hatari kwa taifa maana ni shirika lililobaki mbadala na atcl

Ni kweli wana deni kubwa tu sasa Puma kama Puma walichoamua na hii ni fundisho na muda si mrefu naomba msishangae precission kuanza kutangaza kuvunja safari kadhaa kutokana na kushindwa kulipa mafuta
Puma wanachofanya kila flt ukiiitaji mafuta unalipa double yaani kama unaitaji mafuta ya ltr 2500 unalipia ya ltr 5000
nafikiri hii itawakumbusha waheshimiwa wakuu wa precission mkipata faida kumbukeni kulipa na deni sio mnakula mpaka faida mtaaibka wanandugu
 
bila shaka hali imetengamaa nimetoka Dar na Precision air saa kumi na mbili na tayari niko Shinyanga!
 
I was very skeptical kununua share zao mwaka jana walipotangaza IPO yao ambayo ili-end-up kuwa undersubscribed. Hii tayari ilikuwa ni red light kuwa mambo mle ndani si mazuri. Yes ni watanzania entrepreneurs, lakini tatizo la entrepreneurs wa Kibongo wengi si entrepreneurs halisi bali surrogates wa wanasiasa.

Hii inafanya biashara nyingi unazoziona ziking'ara zinakuwa si biashara halisi. Kunakuwa na fedha chafu kutokea kwenye mfumo wa siasa zinazoingia huko. Siasa hazitabiriki na ni kama weather, mambo huharibika saa yoyote ile. Nadhani ndo maana investors walikuwa very cautious kuweka fedha zao mle. Kwa wale walioweka mle poleni, mambo ya NICOL yatajirudia humo!
 
Balaa hili. na Precision Air ndio ilikuwa inafanya vema kuliko Air Tanzania.:A S embarassed:
 
Tanzania migomo kila kona, laana gani hiiiii
 
Kampuni kimeo ile walionunua share wakati zipo katika primary market (IPO) imekula kwao maana bongo issues za hisa kwa makampuni wengi wanafuata mkumbo bila hata kuisoma prospectus ya kampun husika, kama uliichunguza kwa umakini ilikuwa sio kampuni yakununua share...haya sasa kufa lazima ife maana hata hisa za KQ zipo pale kwa interest ya KLM over battle market ya SAA ku-control market ya east africa na sasa hakuna impact coz tayari ATCL ipo huru. Haya watakuwa tu kama Atcl aka Twiga mnyonge!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
anyway
Precission air soon tutangaza msiba na hii ni kutokana na shirika jumuiya Kenya airways kuanza kujiondoa polepole ....

Wasiwasi wangu ni kwamba hawa jamaa Wa-Kenya wanaweza kuwa wameshapanga kuiua Precision ili kampuni yao (Fly540) iwe mbadala wa Precision? Hivi Wa-TZ wamenusa hilo, ikiwa ni pamoja na Serikali? Wa-TZ ni wageni sana katika biashara na inawezekana wameshaingizwa mjini? Meneja mkuu wa Precision ni Mkenya (Alphonse Kioko). Sitashangaa kusikia anazo shares humo kwenye hilo shirika la Wa-Kenya!! Na haisaidii kwamba Wa-TZ wanapigana wao kwa wao, hawaipendi sana Precision kama kampuni ya Ki-Tanzania, kama ambavyo threads hasi za kukandya zinaonyesha humu.

Yangu macho!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
shame on them
Mzurimie sikuelelewi maana hata wewe figo moja ikigoma kazi utapanda ndege hiyo hiyo kwenda nairobi kisha upande kenya airways/fly emirate au Quatar airways!!!!!!!!!Unazijua ndege za wenzetu?????hazikopeshi sio mabasi ya air tz ni aibu!!!Ndege ya air tz inachomoka tairi kama bajaji nani apande???
 
Inawezekana tatizo liko nadni ya kampuni yenyewe au kuna competitor anataka kuua kampuni ili atake over.
 
sasa wanakubalije kufanya biashara chini ya faida? Labda tuelezwe ni sababu zipi zimechangia kwa shirika kufikia hali hiyo
 
Mzurimie sikuelelewi maana hata wewe figo moja ikigoma kazi utapanda ndege hiyo hiyo kwenda nairobi kisha upande kenya airways/fly emirate au Quatar airways!!!!!!!!!Unazijua ndege za wenzetu?????hazikopeshi sio mabasi ya air tz ni aibu!!!Ndege ya air tz inachomoka tairi kama bajaji nani apande???

Nimeandika shame on them na umejibu gunia zima mie linanihusu nini? Yewii unaweka maneno kwenye mdomo wangu eti unanichagulia ndegemie nina na air miles za kampuni mbili za ndege nizipendazo kusafiria.... utaji jj.

nasema tena kutokana na story iliyoletwa humu mwanzoni ya muanzishaji SHAME ON THEM.

inakuuma wakati muna muda wakujirekebisha mnakula tu pesa muonekane matajiri hamjui biashara.

Acheni wakenya wale na kuendelea kama akili wanazo.
 
Huyu mnaemwita Kioko ndie muuaji mkubwa wa Precision. Siku akiacha au kuachishwa, ndio utakuwa mwisho wa Kampuni. Kwa nini Kenyans watuzidi akili? Mimi nadhani hata Board of Directors wanasaidia kuua kwa maslahi yao zaidi. Kwani wanalijua hilo.

Again..... Shame on them... Source mzurimie...
 
Back
Top Bottom