Mkuu, kwa uzoefu na kwa kusoma maandishi yako, wewe ni wale wasafiri wanaitwa 'Last-Minute Pax, na kwa ndege zingine unaweza ukazuiwa na kuachwa na ndege, huku unaiona! Watu wa aina yako kiusalama ni suspects!PJ ,snag sawa taarifa mapema ni muhim.
Unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui Kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na security haraka. Unafika kwenyekucheckin counter Mara mnaambiwa ndege yenu imepata hitirafu haipo. Na baada ya taarifa hiyo mnabaki mnatazamana na staff wa precision wapita pita tu bila taarifa yoyote. Jamani hawa precision mpaka lini hii?
Mkuu, kwa uzoefu na kwa kusoma maandishi yako, wewe ni wale wasafiri wanaitwa 'Last-Minute Pax, na kwa ndege zingine unaweza ukazuiwa na kuachwa na ndege, huku unaiona! Watu wa aina yako kiusalama ni suspects!
Kawaida ya ndege lazima u'reserve ample time ya kuwepo uwanjani, an hour or so!..sio unafika unakimbia hadi
counters, jasho mingi, hiyo siyo staha ya abiria wa
Lau ungefika mapema ingesaidia kujuzwa mapema na usingekuwa na munkari, maana anayetangaza ni lazima atoe plan B ya matter on hand!
All in all, pole sana.
acha papara wewe nyie ndio watanzania wa ovyo,ulitaka kusafiri na chombo kibovu ili mpate itailafu muanze kulalamika mara,tcaa,mwakyembe,jk,ccm,chadema nk.kuweni watulivu na pengine una uwezo wa kusafiri kwa ndege uwelewa wako ni afadhali kumbe magumashi,au ticketi ulitumiwa kama dhl,ems nini?.hata ulaya vitu hivyo vipo maana katika usafiri wa ndege first ni security and safety basi.unatia aibu kuleta upashikuna na uzandiki kwenye chombo kama hiki cha jf.kwa tz shirika la ndege bora bado ni pw na hao wengine ni wazugaji na tuunge mkono pwa maana ni ya watz kupitia soko la hisa.kama wewe ujatumwa na wapinzani kupanya marketing intelligence to hell go.unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na security haraka. Unafika kwenyekucheckin counter mara mnaambiwa ndege yenu imepata hitirafu haipo. Na baada ya taarifa hiyo mnabaki mnatazamana na staff wa precision wapita pita tu bila taarifa yoyote. Jamani hawa precision mpaka lini hii?
hahaha Fast Jet is more worse.
Ndege gani iko full all the time. Ila nimegundua watanzania wanapenda vitu vya mteremko sana!! Very cheap!
Dogo hiyo unaitaji kuboard na safety gear zako. Not Bk naenda Arsh
Mkuu thnx kwanza,
Ni mara chache sana kutokua airport 1.30hrs kabla ya safari za ndani na 2hrs kwa za nje. Mfano Leo tu nimefika airport saa 12.05 na flight yangu ilitakiwa iwe 1.10 asubuhi, hapo kwa Mimi nilijiona Kama nimechelewa, na ndio maana nilikua nikirush!! Na checkin counter ilikua na foleni, dada mmoja akicheck lkn ghafra akastop kucheck na kusema kunaitirafu kwenye hiyo ndege! Kwa precision yamenikuta mengi, mzigo kusauhuliwa, kuharishwa kwa flight na wakati mwingine unaambiwa ndege imejaa wkt wa kucheckin
Dogo hiyo unaitaji kuboard na safety gear zako. Not Bk naenda Arsh
hahaha Fast Jet is more worse.
Ndege gani iko full all the time. Ila nimegundua watanzania wanapenda vitu vya mteremko sana!! Very cheap!
Nashukuru sana!acha papara wewe nyie ndio watanzania wa ovyo,ulitaka kusafiri na chombo kibovu ili mpate itailafu muanze kulalamika mara,tcaa,mwakyembe,jk,ccm,chadema nk.kuweni watulivu na pengine una uwezo wa kusafiri kwa ndege uwelewa wako ni afadhali kumbe magumashi,au ticketi ulitumiwa kama dhl,ems nini?.hata ulaya vitu hivyo vipo maana katika
usafiri wa ndege first ni security and safety basi.unatia aibu kuleta upashikuna na uzandiki kwenye chombo kama hiki cha jf.kwa tz shirika la ndege bora bado ni pw na hao wengine ni wazugaji na tuunge mkono pwa maana ni ya watz kupitia soko la hisa.kama wewe ujatumwa na wapinzani kupanya marketing intelligence to hell go.
Niko hapa Ubungo Bus Terminal natafuta mabasi yaendayo Zanzibar, naomba unielekeze yanapaki sehemu gani?Si mtumie usafiri wetu wa mabasi kama akina sie, km chache gari inasimama tunachimba dawa kwa raha zetu.......!
Hivi unajua kuwa Airbus series ni salama kuliko ATR za precision? soma na forum za Aviation , utajua mengi kabla hujakurupuka ,kiuhalisia ndege kubwa hupaa juu zaidi ya ndege ndogo. Kumbuka kadiri unavyokuwa juu zaidi ni salama zaidi.
acha papara wewe nyie ndio watanzania wa ovyo,ulitaka kusafiri na chombo kibovu ili mpate itailafu muanze kulalamika mara,tcaa,mwakyembe,jk,ccm,chadema nk.kuweni watulivu na pengine una uwezo wa kusafiri kwa ndege uwelewa wako ni afadhali kumbe magumashi,au ticketi ulitumiwa kama dhl,ems nini?.hata ulaya vitu hivyo vipo maana katika usafiri wa ndege first ni security and safety basi.unatia aibu kuleta upashikuna na uzandiki kwenye chombo kama hiki cha jf.kwa tz shirika la ndege bora bado ni pw na hao wengine ni wazugaji na tuunge mkono pwa maana ni ya watz kupitia soko la hisa.kama wewe ujatumwa na wapinzani kupanya marketing intelligence to hell go.
punguza emotions ndugu yangu,,,hukulazimishwa kununua share..ha ha ha
kama mtu anawahi strategic meeting ya saa 5 kamili asubuhi huko aendako halafu wewe unamchelewesha masaa mawili airport,,unategemea akae atabasamu tu?..nionavyo mimi precision bado haijapata mshindani wa kweli hapa Tanzania,,lakini siku akitokea mshindani anayejua kuondoa hizi inconvenience za watu kupoteza mizigo kila siku, kuchelewa kwa ndege na kuahirishwa flights mara kwa mara...mtajuta!!
Mimi ilinikuta hali kama hiyo tarehe 26/10/2012 nilikuwa natakiwa kupanda ndege ya saa 10, sikupata taarifa yoyote ya kuahirishwa kwandege hiyo mpaka nilipofika checkin counter, na mazingumzo na yule dada niliyemkuta yakawa hivi;
Dada wa precision: Kaka ndege yenu haipo utapanda ya saa moja.
Mimi: Inakuwaje taarifa hii naipata nikiwa hapa wakati mlichukua namba yangu ya simu?
Dada wa Precision: Ndo nakutaarifu sasa tulisahau
Mimi: Kwa hiyo nafanyaje? nimeshafika hapa na alienileta ameshaondoka.
Dada wa precision: nakupa kuponi uende huko hotelini ukale unachotaka.
Mimi: nimeshakula
Dada wa precision: Kama hutaki kuponi nipishe niendelee na wateja wengine unanchefua mimi.
Mazungumzo yakaishia hapo na nikapata hasira sana, nikaamua kuchukua mizigo yangu na ile kuponi aliyonitupia pale mezani na kwenda huko hotelini alikotana niende. Kwa kweli nilipata hasira sana kwa kuona huduma kwa mteja ya namna ile. Mimi ndo nasababisha yeye apate mshahara lakini ananiambia namchefua kwa kumuuliza maswali. Kuanzia hapo nililaani sana na kuomba dua wapate mpinzani. Tunategemea, pamoja na kuwa hilo wanaliita shirika la wazalendo, litakufa pindi washindani wa kweli watakapotokea. Karibu sana fastjet na tunaomba mungu shirika letu la kizalendo ATCL lifufuke tuachane na Mzimu unaoita precision air.