Precision Air katika Facebook na Twitter

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
6,299
Points
2,000

R.B

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
6,299 2,000
Baada ya shirika la ndege la Precision Air kununua ndege yao mpya aina ya ATR 42-600 na kuwa shirika la kwanza Africa na duniani kumiliki na kutumia ndege aina hiyo, sasa inawapa fursa mashabiki wake katika mtandao wa facebook na twitter kuwa wa kwanza
kuruka na ndege hiyo.
Ndege hiyo hiyo ya kisasa ambayo uzinduzi wake rasmi umepangwa kufanywa tarehe 5 ya mwezi December, ina siti 50 na inatarajiwa kufanya safari zake kati ya Dar es salaam na Kilimanjaro.
Katika uzinduzi huo Precision Air itatoa zawadi kwa washindi watatu (3) kutoka katika ukurasa wao wa facebook. Ili kushinda itakubidi utembelee ukura wao wa facebook (Precisionair Tanzania | Facebook), kwanza bonyeza LIKE kama bado hujajiunga na ukurasa huo halafu SHARE picha ya ndege hiyo iliowekwa kwenye ukurasa huo kisha waambie marafiki zako waLIKE na kuCOMMENT kwenye picha yako ulioSHARE, Watu watatu (3) watakaoongoza kwa kua na LIKEs na COMMENTs nyingi kwenye picha yao walioShare moja kwa moja kutoka kwenye ukurasa wa facebook wa Precision Air watakua washindi.
Hi ndio picha ya shindano unayotakiwa kuSHARE ili kushinde
[ ANGALIZO : Unatakiwa kushare picha moja kwa moja kutoka kwenye facebook page ya Precision Air]
Mshindi wa kwanza kwa kua na LIKEs na COMMENTs nyingi zaidi atashinda tiket ya buuure kwenda kokote ambako ndege za Precision Air zinakwenda, pia atapata fursa ya kuruka na ndege mpya ATR 42-600 na mwisho atahudhuria sherehe za uzinduzi wa ndege hi mpya.
Mshindi wa pili atapata fursa ya kuruka na ndege mpya ATR 42-600 na pia atahudhuria sherehe za uzinduzi wa ndege hi mpya. Na mshindi wa tatu yeye atapata fursa ya kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa ndege hi mpya.
Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa zao za; facebook
[www.facebook.com/precisionairTz],

Twitter [www.twitter.com/PrecisionAirTz]
 
Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
35,366
Points
2,000

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
35,366 2,000
mimi najua kwenye soko la ndege kwa tz bado precision atabakia hao wengine watakufa tu
 
Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
625
Points
170

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
625 170
Kweli nimekuwa napanda ndege za precision Air ways mara kwa mara nikiwa nasafiri kikazi kwenda Mtwara na Mwanza. Ninapenda huduma zao na ninawahamasisha watanzania na wasio watanzania kutumia ndege zao na hasa hii mpya ambayo inatarajiwa kufunguliwa rasmi December 5
Big up Precision Airways
 
Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
1,395
Points
1,195

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
1,395 1,195
Effective use of social media as a marketing tool!
Hii safi sana kwa kukuza uhusiano wa jamii na hii kampuni ya ndege. To be more Precise, fly Precision Air. ​
 
engineerm

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
106
Points
0

engineerm

Senior Member
Joined Aug 30, 2011
106 0
Hizi ni denge za zamani sana ambazo hata huko ulaya hawazitumii tena,nashangaa precition wanasema wa kwanza kuitumia duniani huo uongo wa mchana kabisa.
 
omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
4,146
Points
1,225

omujubi

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
4,146 1,225
mbona kwenye picha haionekani kuwa na tofauti na zile ATR42 zingine walizonazo kabla!?? Mwenye features za ziada naomba atujuze
 
snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
1,274
Points
1,225

snochet

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
1,274 1,225
we tuko pamoja!tofauti ya hii na hizo za kale ni nini?
Tatizo letu watanzania wabishi sana,kabla hatujafanya hata utafiti,hizi ATR 42-600 zimekuwa certified tu mwezi huu....na sales za kwanza zimefanywa ndani ya mwezi huu...
ATR -600 series aircraft certified to operate in Russia and the CIS countries

Thursday 29 November 2012 ATR has obtained Russia’s Interstate Aviation Committee (IAC) approval for the ATR 42-600 and ATR 72-600 to operate in Russia and the Community of Independent States (CIS). IAC’s certification validates all the major developments of the ATR -600 series, namely the new avionics suite with the full-glass cockpit.
The 70-seat ATR 72-600 and the 50-seat ATR 42-600 already received certification from European Aviation Safety Agency (EASA) in May 2011 and June 2012 respectively. To validate the EASA certification of the ATR -600s for operations in Russia and the CIS countries, IAC deeply examined the new ATR -600’s glass cockpit technical characteristics and is fully satisfied with its performances and safety.
Carmine Orsi, Senior Vice-President Engineering of ATR, declared: “This is a significant milestone for our company and our Russian customers, and we are pleased that we have fully complied with the high standards of IAC’s requirements. We are convinced that this certification will open up new commercial and operational perspectives for ATR -600 series aircraft in Russia and CIS markets”.
ATR is the leader among western-built turboprops in Russia and CIS with more than 50 ATR aircraft operated by customers like UTAir, UTAir-Ukraine, Nordstar Airlines (Taimyr) and Azerbaijan Airlines.

*****
-****
utofauti wake ni huu hapa chini

Engineered by enhanced technology, the -600 series is a large step forward in the regional transportation market.
The ATR -600 brings new operational capability to the ATR family through :

  • Outstanding performance at take-off on short runways,
  • Increased max payload,
  • Reduced maintenance costs,
  • Redesigned cabin,
  • Latest avionics technology.

Significant product upgrades and innovative solutions at the service of low operating costs and high reliability.
The ATR -600 Series enjoys the latest innovations in the cockpit with simplified, integrated LCD advanced functions, enhancing safety, improved handling for pilots and maintenance cost saving.
Three main developments axis:

  • Performance enhancement and expanded operational versatility
  • Technology upgrade
  • Improved passengers' comfort and appeal

more info can be found from ATR Aircraft
 
fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Messages
2,237
Points
1,250

fabinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2011
2,237 1,250
na zile za zamani ni ATR nini?umedadavua vizuri!halafu sababu ya hii Reduced maintenance costs sasa wapunguze bei kama jetharaka,asante
 
Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Messages
7,287
Points
2,000

Twilumba

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2010
7,287 2,000
Baada ya shirika la ndege la Precision Air kununua ndege yao mpya aina ya ATR 42-600 na kuwa shirika la kwanza Africa na duniani kumiliki na kutumia ndege aina hiyo, sasa inawapa fursa mashabiki wake katika mtandao wa facebook na twitter kuwa wa kwanza
kuruka na ndege hiyo.
Ndege hiyo hiyo ya kisasa ambayo uzinduzi wake rasmi umepangwa kufanywa tarehe 5 ya mwezi December, ina siti 50 na inatarajiwa kufanya safari zake kati ya Dar es salaam na Kilimanjaro.
Katika uzinduzi huo Precision Air itatoa zawadi kwa washindi watatu (3) kutoka katika ukurasa wao wa facebook. Ili kushinda itakubidi utembelee ukura wao wa facebook (Precisionair Tanzania | Facebook), kwanza bonyeza LIKE kama bado hujajiunga na ukurasa huo halafu SHARE picha ya ndege hiyo iliowekwa kwenye ukurasa huo kisha waambie marafiki zako waLIKE na kuCOMMENT kwenye picha yako ulioSHARE, Watu watatu (3) watakaoongoza kwa kua na LIKEs na COMMENTs nyingi kwenye picha yao walioShare moja kwa moja kutoka kwenye ukurasa wa facebook wa Precision Air watakua washindi.
Hi ndio picha ya shindano unayotakiwa kuSHARE ili kushinde
[ ANGALIZO : Unatakiwa kushare picha moja kwa moja kutoka kwenye facebook page ya Precision Air]
Mshindi wa kwanza kwa kua na LIKEs na COMMENTs nyingi zaidi atashinda tiket ya buuure kwenda kokote ambako ndege za Precision Air zinakwenda, pia atapata fursa ya kuruka na ndege mpya ATR 42-600 na mwisho atahudhuria sherehe za uzinduzi wa ndege hi mpya.
Mshindi wa pili atapata fursa ya kuruka na ndege mpya ATR 42-600 na pia atahudhuria sherehe za uzinduzi wa ndege hi mpya. Na mshindi wa tatu yeye atapata fursa ya kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa ndege hi mpya.
Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa zao za; facebook
[www.facebook.com/precisionairTz],

Twitter [www.twitter.com/PrecisionAirTz]
Hakuna kitu hapo wamepagawa na kitu cha fastjet!
ndo yale ya mfa maji!
 
Forum statistics

Threads 1,389,527
Members 527,939
Posts 34,027,297
Top