watakua al shabaab
Duh afadhali iwe ni mazoezi maana na hizi share nilizonunua mbona ingekuwa balaa
nidhibitishe = nithibitishe
Mimi tayari tumbo lilishaanza kupinduka!Duh afadhali iwe ni mazoezi maana na hizi share nilizonunua mbona ingekuwa balaa
Precision Air is a flying time bomb.
Vipi share zao zitashuka? maana hii ina impact kwenye share
Kabla ya ndege kuanguka 1 Share Tshs 475
After ndenge kuanguka na kuuwa wanashare ( I propose 1Share Tshs 100 ili tununue wengi)
Hahahaa sishuki humu