Precision Air (Dsm Dodoma)

Pole watu wanajibu tuu kw sbb hawajui wkt huo hali unayopitia ww muda huo ilikuwajee...mi napandaga ndege nikiwa na dharura otherwise sitaki kufa kwa presha..hapo dodoma kuna ukanda fulani ndege huwa zinapata shida hasa kipindi cha mvua kama sasa..unaweza jinyea walai...
Ha ha ha hatari
 
Ahaa kumbe ndio nyie mlioitwa mida ya saa 5:20 mka-board kupitia gate No. 5. Poleni, nilikuwa hapo nasubiri ndege ya kwenye mkoa mwingine. Kumbe mlienda kuteseka hivyo poleni sana.
Ni sisi aisee tumeteseka kweli mama mmoja alikemea kilokole baadae ikapiga mtikisiko mkali akanyamaza maombi. Ha ha ha nadhani akawaza wanae maana hata simu aliweka kwenye mkoba
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Definetely hali ya hewa haikuwa vizuri
Ila walau ndege kubwa huwa zinastahimili hali mbaya ya hewa.

Mwaka Jana nilipanda Boeing za ATCL zile za Anko Magu kutoka DSM kwenda Mwanza.

Japo kuwa kulikuwa na hali mbaya ya hewa lakini tulifanikiwa kusafiri na kufika salama.
 
Back
Top Bottom