Precision Air (Dsm Dodoma)

Ha ha ha hatari
 
Ahaa kumbe ndio nyie mlioitwa mida ya saa 5:20 mka-board kupitia gate No. 5. Poleni, nilikuwa hapo nasubiri ndege ya kwenye mkoa mwingine. Kumbe mlienda kuteseka hivyo poleni sana.
Ni sisi aisee tumeteseka kweli mama mmoja alikemea kilokole baadae ikapiga mtikisiko mkali akanyamaza maombi. Ha ha ha nadhani akawaza wanae maana hata simu aliweka kwenye mkoba
 
Reactions: ARV
Definetely hali ya hewa haikuwa vizuri
Ila walau ndege kubwa huwa zinastahimili hali mbaya ya hewa.

Mwaka Jana nilipanda Boeing za ATCL zile za Anko Magu kutoka DSM kwenda Mwanza.

Japo kuwa kulikuwa na hali mbaya ya hewa lakini tulifanikiwa kusafiri na kufika salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…