Precision Air- Dala Dala

bullshit, andyway ndo tatizo la kutokuwa na ushindani, they do what they want
 

It is more tha kusikitisha. Yaani abiria washindwe kupakiwa kwenye ndege KIA wakatafutiwe usafiri nairobi??? Cry we a River!
 

Yes ni kweli

Once Kigoma ilinitokea. agent wa precision Kigoma ndio anamiliki hoteli moja ya kitalii inayopata wateja wengi wa kitalii.

Abiria wanaokata ticket zao za return dar hawapewi kipaumbele no matter awe na ok au umeconfirm. Kwanza customer wa ile hotel ndo wanapewa priority then wanapewa 2nd prority waliokata ticket zao pale pale kwa agent wa mkoani.

Jamaa pembeni alinitonya na kunimbia kama una hela ya kukata ticket mpya utaondoka lakini hizo hela mlizoacha dar watawapiga dana dana.

kwa uzoefu ule nikipata safari nakata one way.Then c siku chache before kurudi nawapelekea manoti ma agent wa mkoani kukata ticket ya kurudi. Hiyo ni ADAPTATION
 
Unajua airlines hasa katika kipindi hiko kigumu kinaathiriwa sana na 'no shows' ili kuthibitisha kama kweli hujabadili nia ya kusafiri siku hiyo iliyo kwenye tiketi yako inabidi ufanye hivyo vinginevyo ndege inaweza kuondoka na watu wachache kama wakitegemea hivyo ulivyofanya.
Siku hizi hiyo ndiyo standard practise.
 
mimi naamini ATC ni bora kuliko hiyo precission basi tu hawana ndege za kutosha
 
.......Kama precision air kuna mizengwe we jichukulie coastal air hawa mie naona huduma zao zipo poa.
 
Mtz halisi\

ndege nyingi hapa kwetu lazima u comfirm...kucomfirm sio kwamba ugomvi inakusaidia mwenyewe br
in case umecomfirm na ndege imejaa siku hiyo wanapewa priority walio na ok
sasa ndege aiweze kuacha abiria kwasababu ya kupiga simu kusema ok wati waweke siti ya mtz..ok una tkt kweli ya kurudi ukija kama wamepiga watu na wengine wakapewa ok kama huna mama yangu utaabaki kuangalia mabawa yakiruka na huna jinsi

sasa basi kama ni mgeni jitahidi itakusaidia mwenyewe;kama uamini kata hndege ya kigoma atcl uone moto wake kama uja comfirm hapo utajua umuhimu wa cormfimation
 

Please soma nilivoandika hapo mwanzo kabisa
I said, we as a group confirmed 3 days prior siku ya safari na tukapewa OK plus tukapata na ticket kwa ajili ya safari siku ya safari

Kama kusafiri nimesafiri sana, ndani na nje ya nchi hakuna ugeni hapo
my concern was why get a confirmation and a ticket to show ni mmoja wa wasafiri kisha siku ya safari at the airport unaambiwa huwezi kwenda

BY THE WAY INGEKUWA SIJAPATA OK WASINGENISAFIRISHA NA HIYO NDEGE ON THE DAY. Thanks anyways
 
Mtz_Halisi, pole bwana. Mambo mawili lazima ujue precision wanajali saana waheshimiwa na wazungu kuliko sisi wabongo. Pili kwa kubaki peke yao wamekuwa na service mbovu sana. Sasa mimi ilitokea nilienda Arusha wakati wa kurudi nikawa na appointment ya Dar saa nane na nusu (meeting). Nafika Ar Airport naambiwa ndege inapita Zanzibar nikawauliza mbona ticket yangu haielezi kuwa ni via Zanzibar, jibu likawa toka siku nyingi ndo ilivyo. Sasa nikafikiria kama toka siku nyingi ndo isiandikwe kwenye tickect? harafu ofisi zao ukipiga simu huwa hazipokelewi kabisaa. Kwa mfano wakati niko Arusha nikawaomba hotel wanisaidie kuconfirm wakaniambia mtu wa ku confirm ameshaondoka nikasema piga simu uconfirm. Yule dada akaniambia precision huwa hawapokei simu hata upige siku nzima. kweli akajaribu simu haikupokelewa. Hivyo kuwa peke yao ndo inafanya service zao zinakuwa hovyo sana.
 


ndugu hili ni tatizo la tamaa

labda nielekeze kuna watu wanaitwa tlo sijui kirefu chake nilipata tatizo kama hilo..hawa wanafanya kazi ya kucheki abiria..ndugu ndege ikiwa imejaa wanaotangulia wanaambiwa awana ok..baadae anakufwata mtu anakwambia una sh kadhaa uende,uwezi amini uliowakuta unawaacha wanachukua namba za tkt zako wanaenda kuichek in anakuletea boarding pass...hii mchezo nimecheza sana na atcl tangu precission waache kwenda kigoma ,..ukienda airport kama una 30-50 alfu wanakuchukua no matter umekata leo ama sasahivi,..nilichelewa kazini nikaingia ndani nilpofika wakanikatalia nikaenda kwenye bench nikafwata na babu mmoja wa uniform za kampun ya ulinzi akaniambia nina ngapi niende..nkanziwa 50 nikawaomba na kweli nilikuwa na shida nikawapa 30..mwenzangu alichelewa na wengine wakawekwa pending..dk za mwisho akaja mwenzangu nikamwita askariakachukua namba za tkt akaenda kunletea boarding pass...huku watu wakilalama wamepewa ok tangu majuzi...so wakati mwingine wakubwa wa kampuni wajui uchafu unaofanyika airport ndio maana ukija wewe wanadai umechelewa.....niliwahi kutukanana sana na kijana mmoja wa atc nikwa nafanya mwanza ...nilipofika zimebaki dk 10 kufunga akadai nimecheelewa nikaambiwa na ssecurity nndege imejaa..nkamwambia nina ok...nikampigia david mattaka..nkamweleza sasa ni saa ngapi na huyu mpuuzi wako anasema muda umeisha nina ok .ninasafirije..akaongea nae mara nikaona yule kijana mmoja mfupi akiwa na kijana mmoja mpemba wakaanza kusemezana mara nikaona naulizwa tkt yangu...nikapewa boarding pass,..hii ni mmoja tu ya micherzo michafu inayofanywa na watu wa airport...

Pole sana so sion ajabu kuwepo na precission siku hiyo watakuwaw ameuza za watu wakaona potelea pote wakishika hela awaangalii nyuma
 

Hii inanikumbusha miaka ya nyuma kidogo ktk uwanja wa KIA ATCL wliconfirm watu wengi zaidi ya uwezo wa ndege, ndipo bwana mmoja nafikiri ni big shot somewhere akagrab vile vileaf vinvyochanwa kweye ticket za abiria counter ambavyo baada ya ku-check in anakabidiwa rubani, na kuwaambia waendelee na safari, kwa kweli hapakutosha. Ilbidi wamchomoe abiria mmoja aliyecheck-in ili huyu bwana asafiri thhough if you look at it haikuwa fair kwa aliyerudishwa. We need to be serious
 
basi walijaribu kuuza yangu... ikagoma kuuzika... kwani nilibidi tu nisafiri on that very flight on the day

Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…