Precision Air: Biashara ya hisa iliishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision Air: Biashara ya hisa iliishia wapi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by domokaya, Feb 2, 2012.

 1. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,142
  Likes Received: 1,266
  Trophy Points: 280
  Jamani hawa watu wa precision air ni matapeli au nini? Tangu wauze hisa na kusema watato vyet vya hisa zaidi yamiezi mitatu imepita vyeti hakuna wala hisa hazijaingia sokoni
   
 2. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hivi hakukuwa na timeframe ya kukamilisha mambo hayo? Hata mimi nimeanza kuingiwa na hofu. Isije ikawa kama yale mabo ya manispaa ya Ilala na viwanja vya kinyerezi. Wamekusnya mkwanja halafu wakakimya!
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Kuweni na subira wakuu. Mimi bado nasubiri gawio la TOL mwaka wa kumi huu, na cheti ninacho !!!!!!!!!!!!!. Mambo kibongo bongo.
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kifo cha wengi ni harusi, nimepumua baada ya kujua kwamba si mimi peke yangu niliyelizwa/nitakayelizwa.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sitaweka neno hapo, maana mwenyewe ni muathirika!
   
Loading...