Sasa mi nishawazoea,kuna siku toka Mwz-JRO Tulitakiwa kuondoka saa 7,watu tumefika saa 5 mpaka hiyo saa 7 kimya,tukawauliza kulikoni hamtangazi chochote,wakadai subirini.Tukasubiri til saa 8 kasorobo wakatangaza tutaondoka saa 8 na nusu,ikapita no tangazo no apology,saa kumi na nusu ndo tunatangaziwa kuingia kwenye ndege,hatukupewa hata maji wala kuombwa samahani.