Precision Air acheni kunyanyasa abiria wa Mtwara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision Air acheni kunyanyasa abiria wa Mtwara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kamura, Oct 8, 2012.

 1. K

  Kamura JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kampuni ya Ndege ya Precision Air ina wanyanyasa abiria wa wanaokwenda mkoa wa Mtwara. Hii nimeishuhudia mwenyewe leo abiria hao ambao walikuwa waondoke saa tatu (3) asubuhi matokeo yake wakaambiwa wataondoka saa 9 mchana mara saa 10:30 na matokeo yake wakaambiwa hakuna usafiri na kupewa vyumba katika Hoteli ya TANSOMA. Ukiacha abiria wa leo hata jana hali ilikuwa hivyohivyo ingawa abiria wa jana waliondoka jioni badala ya asubuhi. Kama route ya Mtwara hailipi ifuteni ili abiria watafute usafiri mbadala.
   
 2. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Michael Ngaleku Shirima sijui kama anayajua haya yanayoendelea kwenye kampuni yake
   
 3. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Michael Ngaleku Shirima sijui kama anayajua haya yanayoendelea kwenye kampuni yake pole sana mkuu
   
Loading...