mm nlchukua kozi ya uganga wa kienyej kule kibaha mwl mkuu alkua Mshana JrNilipiga kibaha shule ya msingi,,,matokeo yamependezesha siku yangu
Fundi viatu yupi huyo?kumbe kaka yko ndo yule fund viatu maaruf .... au story zafanana
Wazee wa kuzamiaaNa wazee wa kutupia suti ili kuzamia sherehe za Bertil Merlin mpo? Salamu kutoka Scandia