Usiangalie sana mpira changanya na vidude dude hapa najiandaa kuangalia final upande wa Jkt namuangalia stumai ni ka beauty sana upande wa Yanga Sylivia japo huwa anatoa Boko kiasi
Kuna kitu kinatokea hapa uwanjani mashabiki wa Jkt wameweka kambi kwenye goli la yanga na WA yanga wameona isiwe tabu wameenda kuweka kilinge kwenye goli la Jkt ni mwendo wa kuimba TU fujo zisizo umiza
Kama huu ni utani basi nadhani umepitiliza. Tuwe na heshima kwa haiba ya watu wengine hawa unaowaita hayo majina ni dada, wadogo wa watu wengine kama wewe.
Kama huu ni utani basi nadhani umepitiliza. Tuwe na heshima kwa haiba ya watu wengine hawa unaowaita hayo majina ni dada, wadogo wa watu wengine kama wewe.