Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Wewe ni kiazi..
Account umekazana ni verified wakati hata nembo ya verified haina... yawezekana ya fatma nayo ni account feki au naye ni ķiazi kama wewe...

Nenda katembelee account ya Membe ya twitter ndo utajua
Twitter nzima iko account hiyo moja tu yenye jina hilo, na inatumiwa na Membe [Kama hujui hili basi wewe ni mgeni wa twitter]

 
Ni kauli ya Membe halisi,
Ni account yake ambayo iko verified ndiyo maana Fatuma Karume kaijibu meseji yake
Huyo aliyejibu namdi azikiwe sio fatuma ingawa ana profile ya fatuma

Fatuma ana id ya shangazi hiyo ndiyo anatumia twitter

Pia akaunt verified ya membe mara ya mwisho kutumika ni 2015

Hii nyingine haipo verified

Naweka sawa mambo ingawa siukubali mambo ya magu
 
Verified account au parody hiyo? Huyo unaemuita ni mtoto Karume ndio huyo shoo? Pumbavu huna akili
 
 
Nenda katembelee account ya Membe ya twitter ndo utajua
Twitter nzima iko account hiyo moja tu yenye jina hilo, na inatumiwa na Membe [Kama hujui hili basi wewe ni mgeni wa twitter]
Sio verified, acha ujinga wewe...haiwezekani waziri mkubwa tena wa zamani wa wizara nyeti mwenye marafiki na washiriki wa nje awê na account ambayo sio verified.
Account ambazo ni verifjed zina katick ka blue..
 
  1. Membe anpotuambia sisi tufanyeje polisi wapo akaripoti,for what I can see anatafuta publicity tuu..kama kweli niyeye..hapa kazi tu..apambane na hali yake.
 
Membe ana akaunti mbili mkuu

Moja hiyo hapo na nyingine Ipo hapo zote mbili nmekuwekea

Kina cho prove hiyo ni akaunt ya membe tokana na tafiti zangu

Ni moja kikwete ka iffolow hiyo akaunti ambayo membe anatumia hivi sasa

Pili kipilimba

Ila haipo verified nmekuwekea akaunti zote mbili za membe moja mara ya mwisho alitumia 2015 hyo yenye 147k followers nyingine anaitumia hivi sasa na haipo verified

Nadhani umeelewa
 
Nmekuwekea zote ya fatuma karume aka shangazi na ya namdi azikiwe ambaye sio shangazi

Watumiaji wa twitter wanamjua namdi azikiwe

Anyway sipo hapa kubishana mkuu

Uwe na siku njema
 
Hakuna shida kuniita hivyo

Weye mwenye akili hongera

Sijui hata umeelewa nachoongea maana nipo upande wako kumwambia mleta mada hyo akaunt haipo verified

Okay hakuna shida

Ni Account ya Membe mkuu

Mtu kuwa na account mbili siyo ajabu, watu wana matumizi tofauti tofauti nazo

Nyingine wanatumia kwa aina fulani ya tweets na nyingine kwa aina nyingine ya tweets ilimradi message zao walizokusudia ziweze kufikia audience wanayoitaka
 
Kubebwa otherwise membe ni mbumbumbu tu
 
Huu mchezo mtakuja shtuka 2020 mshindi kishapatikana
Siasa ni sayansi upande mwingine mchezo mchafu
Zaid ya mchezo wa lowasa huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…