Pray for this Child

Duuh kaungua na acid or what. Mungu amponeshe inshallah
 
Mh! What is the story?
Kwa matibabu ya bongo, third degree burn kama hii ni mtihani. Ila mbona wamemuanika juani? And she/ he will get infections and be dehydrated!
 
Ni kwa neema ya Mungu pekee. Mungu kumbuka Rehema zako kwa mtoto huyu
 
M/MUNGU atamjaalia lenye kheri na yeye. Arudi katika hali ya uzima. Ameen.
 
Eeh Mungu mjaa rehema na neema mponye mtoto huyu na uzidi kuwalinda watoto wetu wote
 
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu, apone kwa uweza wake
 
Huyu si ndio yule mtoto kwa jina Rukia nadhani Mungu alishamchukua nadhani malaria ilikuwa ni chanzo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…