The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,832
- 3,294
Walianza wenyewe Kwa kulekodi video wakikata nyeti za askali wa UkraineTuwekeni ushabiki pembeni.
Yalioko kwenye uwanja wa mapambano yanatisha.
Askari wa Russia wanaokamatwa katika uwanja wa mapambano wanafanyiwa unyama wa hali ya juu, tunaiomba Ukraine irudishe moyo nyuma kwani hao nao ni binadamu wenzao pia.
Picha na video nimeshindwa hata kuziangalia mara mbili neno ubinadamu katika jeshi la ukraine wameliondoa kabisa, Ukraine haina muda tena na mateka ndo mana huskii idadi ya wanaotekwa
yaani hadi unaona watu wazima wanaacha silaha wanavua gwanda wanakimbia jua hali ni mbaya.
Askari wa Russia wanachofanyiwa sote tuungane tuache upro usio na maana ni unyama wa hali ya juu tulaani kwa sauti moja.
Tunaomba Marekani, NATO na Dunia kwa ujumla kuingilia kati tena kwa upya. Ukraine wanawafanyia unyama wa Kutisha askar wa Russia. kwa kuangalia picha na video ambazo baadhi zipo humuhumu binafsi ninaona hata aibu kujiita binadamu mbele ya Viumbe wengine.
Tuombee majeshi ya Russia watoroke kwa amani, video na picha nmeshindwa kuzipost sababu ni mbaya kwakwel nafsi inanisuta hata kuwaonesha.
Hata kama ni vita hiii ni too much.
.Ukraine ni maboya tu Warusi ndio wame wafundisha unyama hao Askali wa Ukraine