smartphone
Member
- Jun 16, 2012
- 20
- 15
wee demu au dume?
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili ya hili pasipo majibu,please naomba mnisaidie kusali pamoja nami na ikiwezekana kupata mawazo yenu course nimekosa imani!asante
duh!we noma umenifanya nicheke.Imani pasipo matendo imekufa...
Haiwezekani unaomba upate mchumba halafu hujichanganyi na jinsia tofauti nawe...uza nyago dogo uonekane.
duh!we noma umenifanya nicheke.
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili ya hili pasipo majibu,please naomba mnisaidie kusali pamoja nami na ikiwezekana kupata mawazo yenu course nimekosa imani!asante
God's time is the best time; usiache kumuomba Mungu, just because hujajibiwa mapema. What if angekupa last month na next week huyo mchumba angekufa na ajali?
Tafuta wimbo wa God's time umeimbwa na Emmanuel Singers YouTube utakufariji, mimi pia huwa unanifariji sana.