Hello friends, its my hope that you are doing fine and pushing forward your daily activities. Back to my side I AM NOT FINE AT ALL (the coming saturday) there will be graduation ceremony at ST.Augustine university and Iam one among the graduants BUT IAM SUFFERING FROM AN EYE( something like jipu jichoni) AND IT MADE ME FEEL SAD because I paid all the costs and jipu started this week. I dont know how will it be with such a jipu on the reception! pls pray for me!!
pole sana
kijipu cha usoni huwa kinaitwa kisekenene kwa mujibu wa ushauri kutoka kwa mama yangu kuna njia mbili za kutibu ya kwanza Kila unapoamka asubuh kabla hujaongea na mtu yoyote cheka kwenye kinu hahahahahaha Ya pili kama ukishindwa ya kwanza nywea maji kwenye ungo kila asubuh siku tatu tu kitapotea kumbuka kama utachagua tiba mojawapo kati ya hizo mbili inatakiwa zifanyike kabla hujaongea na mtu yoyote asubuh inasaidia usiudharau ushauri wangu me pia niko udsm