Prado mpya ime ibwa muda huu na mwanamke kahaba.

Prado mpya ime ibwa muda huu na mwanamke kahaba.

Joined
Mar 16, 2013
Posts
31
Reaction score
4
Jamaa hakika pasaka itakuwa chungu leo na ukumbusho kesho na kesho kutwa baada ya kuibiwa gari na changudoa hapa maeneo xa kaumba bar mjini moro.jamaa alikuja peke yake bar,ila kuna madada wanajiuza hivyo aka mchukua m1 ili aburudike nae sasa wakawa wamekaa wana kunywa kwanza.jamaa si akanyanyuka aende chooni huku kalewa chakari.changudoa aka abeba funguo juu ya meza na kusepa na gari.Hapa tulipo jamaa kachanganyikiwa anajisachi mifukoni.
 
Hii habari ni kichit chat au kweli??? Kama ni hivyo ni uzembe uliokithiri.
 
Asije akawa ni yuleyule kiongozi sijui naibu wa wizara fulani aliyeibiwa bunduki 2 AK 47, dola, shilings, Passports, briefcase et al.

Ma'ke anauzoefu sana wa kuibiwa hapo Moro tena na dadaz poaz.

In serious note NI FUNZO na iwe fundisho kwetu.
 
Hii habari ni kichit chat au kweli??? Kama ni hivyo ni uzembe uliokithiri.

Mkuu, watu huwa wana take risk za ajabu.

Kuna jamaa mwingine juzi kati nae kaibowa gari guest house.
Kaingia na malaya sijui wametoana TipTop, wakanywa biya bar kwanza, then wakaingia kwa chumba mida ya saa tano asubuhi. Demu akatoka mida ya saa saba hivi, akasepa na gari. Jamaa ameenda kushtuliwa na muudumu saa 11jioni baada ya kuona huyu vipi, mbona hatoki.
Jamaa alivyotoka mbona alitafuta gari chini ya uvungu wa kitanda cha guest.
 
Mkuu, watu huwa wana take risk za ajabu.Kuna jamaa mwingine juzi kati nae kaibowa gari guest house. Kaingia na malaya sijui wametoana TipTop, wakanywa biya bar kwanza, then wakaingia kwa chumba mida ya saa tano asubuhi. Demu akatoka mida ya saa saba hivi, akasepa na gari. Jamaa ameenda kushtuliwa na muudumu saa 11jioni baada ya kuona huyu vipi, mbona hatoki.Jamaa alivyotoka mbona alitafuta gari chini ya uvungu wa kitanda cha guest.
alilitafuta chini ya uvungu!?
 
all in all hao makahaba wana akili sana sio kugegedwa kwa buku kumi au 20 jitu linaliridhikaaa baraka ya kuchakaza nyuchii kuziotesha sugu tu.Tena ashukuru na yeye mwenyewe hajaibwa
 
Mkuu, watu huwa wana take risk za ajabu.

Kuna jamaa mwingine juzi kati nae kaibowa gari guest house.
Kaingia na malaya sijui wametoana TipTop, wakanywa biya bar kwanza, then wakaingia kwa chumba mida ya saa tano asubuhi. Demu akatoka mida ya saa saba hivi, akasepa na gari. Jamaa ameenda kushtuliwa na muudumu saa 11jioni baada ya kuona huyu vipi, mbona hatoki.
Jamaa alivyotoka mbona alitafuta gari chini ya uvungu wa kitanda cha guest.

Inasikitisha sana!!
 
Ndo dawa yao.
Kazi kuzizeesha nyuchi zetu tu.
 
Raiza wengine hutafuta gari mfukoni.Achana na panic ya kuibiwa gari mkuu.
mwee nimekumisijeee upo wapi??mi npo hapa kiwanja kipya kilichofunguliwa nicheki kwa simu ndo kwanza tumeingia town hata mizigo hatujapakua
 
Last edited by a moderator:
mwee nimekumisijeee upo wapi??mi npo hapa kiwanja kipya kilichofunguliwa nicheki kwa simu ndo kwanza tumeingia town hata mizigo hatujapakua

Naja na TOYO ya kukodi best nisje endeleza story ilipoishia ya jamaa wa MORO!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo safi sana nadhani atakuwa makini siku nyingine.......
 
Back
Top Bottom