Practical exam :Babu haukwendi peponi.

Practical exam :Babu haukwendi peponi.

vipimo vinainesha nini...
kabla ya vipimo kuna taarifa muhimu lazima umuulize ili kujua unaanzia wapi au unafanya nini,

hii situation ni mbaya sana kwa medical student ikiwa mgonjwa atoe maelezo ya aina tofauti lkn pia wapo ma professor waelewa.
 
Umetaj
hapo lazima uliwe kichwa.

lakini kama wewe ni daktari mzuri , physical examination itakuokoa .

mfano huyo patient hapo hawezi kukosa kuwa na heart failure.

hata kama atabadilisha vipi history yake. lazima upate diagnosis

mtu ana breathing difficult.

lower limb edema

swelling of the abdomen

JVP is up

basal crepitation

heart mummurs

cynosis.

etc.[/QUOT

etc.
umetaja vyooote, halafu mgonjwa akienda India anaambiwa anaumwa moyo tu.
Hapo ndipo tunapoombea zoezi la ukaguzi wa vyeti liwe endelevu.
 
Back
Top Bottom