Practical exam :Babu haukwendi peponi.

Practical exam :Babu haukwendi peponi.

SHIMBA NGOSHA

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
298
Reaction score
388
Unaweza kutoa uchozi.
IMG_20181028_145541_255.JPG
 
hapo lazima uliwe kichwa.

lakini kama wewe ni daktari mzuri , physical examination itakuokoa .

mfano huyo patient hapo hawezi kukosa kuwa na heart failure.

hata kama atabadilisha vipi history yake. lazima upate diagnosis

mtu ana breathing difficult.

lower limb edema

swelling of the abdomen

JVP is up

basal crepitation

heart mummurs

cynosis.

etc.
 
Sawia kabisa.
 
ujue Prof siku hiyo kaamka vizuri, kama sivyo atakapouliza 'do you think what could be the cause of HF to our pt? ' halafu unakuta Hx sio suggestive hata kidogo, hapo ndio utatamani masaa yarudi nyuma
 
Mimi nimeelewa hivi, uko field hospitali, unapata mgonjwa anakwambia anaumwa kichwa unaanza taratibu za kumtibu kichwa baada ya assessor (mwalimu) wako kufika mgonjwa anabadilisha ugonjwa na kusema anaumwa tumbo, ana homa matako yanamuuma etc
 
hapo lazima uliwe kichwa.

lakini kama wewe ni daktari mzuri , physical examination itakuokoa .

mfano huyo patient hapo hawezi kukosa kuwa na heart failure.

hata kama atabadilisha vipi history yake. lazima upate diagnosis

mtu ana breathing difficult.

lower limb edema

swelling of the abdomen

JVP is up

basal crepitation

heart mummurs

cynosis.

etc.
Nyie mlisema hawa anashida ya figo kumbe anasumbuliwa na INI HV nyie mnapigaga ramli au
 
Back
Top Bottom